Shambulio la 11 Septemba 2001 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Matokeo ya maafa hayo: marekebisho na mchango
No edit summary
Mstari 26:
== Vita dhidi ya ugaidi ==
Baada ya shambulio, [[Marekani|Wamarekani]] wakawa wanawalaumu Al-Qaeda kwa kitendo walicho kifanya. Tangu hapo wakaianza vita dhidi ya Ugaidi. Kiongozi wa al-Qaeda, Osama bin Laden, Alikimbilia nchini Afghanistan. Serikali ya Marekani iliwaambia Serikali ya Afghanistan iliyokuwa mkononi mwa kundi la Kiislamu wa [[Taliban]], kumsalimisha bin Laden mikononi mwao. Wataliban hawakufanya hivyo. Kiongozi wa Wataliban, Mullah Muhammad Omar, aliitaka Serikali ya Marekani impe Uthibitisho unaonyesha kwamba Osama anahusika na tukio hilo. Rais wa [[Marekani]] bwana [[George W. Bush]] akasema kwamba hakuna haja kutaka Uthibitisho wowote ule na Serikali ya Marekani ikaanzisha vita dhidi ya Afghanistan.
 
==Tanbihi==
{{Reflist}}
 
== Marejeo ==