GeoNames : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''GeoNames''' ni jina la hazinadata ya kijiografia kwenye intaneti. Imekusanya hadi mwaka 2018 majina milioni 25 ya miji, vijiji, vitongoji,...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''GeoNames''' ni jina la [[hazinadata]] ya [[Jiografia|kijiografia]] kwenye intaneti. Imekusanya hadi mwaka 2018 majina milioni 25 ya miji, vijiji, vitongoji, mikoa, milima, mito, misitu au maeneo mengine. Kati ya hizi ni sehemu zinazokalia na binadamu milioni 4.8 zinazokaliwa na binadamu <ref>[https://www.geonames.org/about.html About GeoNames], tovuti ya wenyewe, iliangaliwa Juni 2019</ref>.
 
Data hizi zimekusanywa na data zinazopatikana kutoka ofisi za kiserikali kote duniani lakini pia na hazinadata za taasisi nyingine kama BBC au Greenpeace. Zinapatikana katika intaneta kwa laiseni huria ya Creative Commons. Data hizi zinaweza kuwa na makosa kwa sababu haikuwezekana bado kusanifisha hazinadata zote zilizotumiwa kama vyanzo.