Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 48:
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu, haswa anapoishi karibu na [[Jengo|majengo]] ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]].<ref>[http://www.buildinginspectionsadelaide.com.au/timber-pest-inspections-necessary-buying-house/ Timber pests]</ref>
 
Wale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la [[uchafu]] kutokana na [[kinyesi]] chao.<ref>[https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ Kuhusu kinyesi cha mchwa]</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta [[dawa]] za kuua wadudu hawa au njia nyingine asili za kuwadhibiti kama vile utumizi wa [[udongo]] ''Diatomaceous''<ref>{{Cite web|url=https://www.diatomaceousearth.com/blogs/learning-center/protect-your-home-from-termites-with-de|title=Protect Your Home from Termites with DE|author=Diatomaceous Earth LLC.|language=en|work=Diatomaceous Earth|accessdate=2019-06-25}}</ref> au [[mafuta]] ya [[kitunguu saumu]] zinazoathiri wadudu<ref>{{Cite web|url=https://pestsguidewww.comsignaturepest.net/termitesblog/gethomemade-ridpest-ofcontrol-termitesfor-forevertermite-treatment|title=HowHomemade toPest GetControl Ridfor of Termites:Termite A Comprehensive Guide (2019)Treatment|author=AmbruN., McMullin|date=20182017-1108-2402|language=en-USgb|work=PestsGuideSignature Pest and Termite Control|accessdate=2019-06-1725}}</ref>.
 
Wanaofanya [[taaluma]] hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili waweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.