Mkoa wa Kilimanjaro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
'''Mkoa wa Kilimanjaro''' ni kati ya [[Mikoa ya Tanzania|mikoa 31]] ya [[Tanzania]] wenye [[postikodi]] [[namba]] '''25000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/kilimanjaro.pdf</ref>.

[[Mlima Kilimanjaro]], [[mlima]] mrefu kupita yote [[bara]]ni [[Afrika]], umo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro. [[Jina]] la mlima huu ndilo limeupatia [[mkoa]] jina lake.
 
Mkoa wa Kilimanjaro umepakana na [[Kenya]] upande wa [[kaskazini]], [[Mkoa wa Tanga]] upande wa [[kusini]] na mikoa ya [[Mkoa wa Manyara|Manyara]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] upande wa [[magharibi]].
 
==Wakazi==
Mkoani Kilimanjaro kuna wakazi wapatao 1,381640,149087 ([[sensa]] ya mwaka 20022012).
 
Ma[[kabila]] makubwa mkoani humo ni [[Wachagga]], [[Wagweno]] na [[Wapare]], ambapo pia kuna makabila mengine madogomadogo kama [[Wamasai]] na [[Wakamba]].