Injili ya Luka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Injili ya Luka''' ni [[kitabu]] cha [[tatu]] katika orodha ya vitabu vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Huhesabiwa kati ya [[Injili Ndugu]] pamoja na [[Injili ya Mathayo]] na [[Injili ya Marko]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Vitabu viwili, kazi moja ==
[[Injili]] ya [[tatu]], ya [[Mtakatifu Luka]], inaendelezwa na kitabu cha [[Matendo ya Mitume]]: katika [[dibaji]] za vitabu vyake hivyo [[mwandishi]] anaeleza sababu na taratibu za [[kazi]] yake kwa mlengwa wa kwanza, [[Teofilo]]. [[Mtu]] huyo hajulikani, na pengine [[jina]] hilo linawakilisha [[msomaji]] yeyote, hasa kwa sababu linatafsiriwa "Mpenzi wa Mungu".
 
== Mwandishi ==
Mstari 18:
Katika Injili hiyo mambo yote yanalenga [[Yerusalemu]], [[kiini]] cha [[jiografia]] ya [[wokovu]], wakati katika Matendo ya Mitume yote yanaanzia huku na kulenga miisho ya [[dunia]].
 
Inaonekana kuwa aliandika baada ya maangamizi ya [[Yerusalemu]] na ya [[hekalu]] [[Hekalu la Yerusalemu|lake]] [[mwaka]] [[70]], akitaka kuthibitisha [[uaminifu]] wa [[Mungu]] kwa [[ahadi]] zake, yaani kwamba matukio hayo ya kutisha yalisababishwa na [[Wayahudi]] kwa kumkataa [[Masiya]] wao, [[Yesu Kristo]].
 
Kwa sababu hiyo, Mungu aliendeleza mpango wake wa wokovu kwa kuwalenga moja kwa moja [[mataifa]] yote.
 
Luka anasisitiza habari njema kwamba [[wokovu]] ni kwa wote, hasa wasiotarajiwa: [[maskini]], [[wakosefu]], [[wanawake]] n.k.
 
==Marejeo==