Jokofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Food into a refrigerator - 20111002.jpg|thumb|Chakula ndani ya jokofu lililofunguliwa.]]
[[File:LG refrigerator interior.jpg|thumb|Jokofu lingine kubwa zaidi likiwa na [[friza]].]]
'''Jokofu''' (pia: '''jirafu''', tena '''friji''' kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "fridge", [[kifupisho]] cha "refrigerator" kilichotumika tangu [[karne ya 17]]) ni chombo chenye [[umbo]] la [[kabati]] au [[sanduku]] kinachotumika mara nyingi kuhifadhi [[vinywaji]], [[vyakula]] na vitu vingine kama hivyo ili viweze kudumu kwa muda mrefu zaidi ya siku zile ambazo zingedumu bila kuhifadhiwa humo. Ni aina za [[kipozaji]] kinachopoza yale yaliyo ndani yake.
 
Pia jokofu hutumika kwenye kugandisha vitu kama vinywaji, vyakula n.k. au hutumika kuvipa ubaridi.