Anonymous user
Google My Business : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Google My Business''' ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na Google. Huduma hii ilizinduliwa Juni 2014<ref>{{Cite w...') |
No edit summary |
||
'''Google My Business''' ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na [[Google]]. Huduma hii ilizinduliwa Juni 2014<ref>{{Cite web|url=https://www.postbulletin.com/marketing/a-brief-history-of-google-my-business/article_a8233a88-81f7-11e7-9bd9-f75e295737ab.html|title=A Brief History of Google My Business|last=Consultant|first=Ron Hanson, Post Bulletin Senior Media|website=PostBulletin.com|language=en|access-date=2019-02-06}}</ref> kama njia ya kuwapa wamiliki wa kampuni za biashara uwezo zaidi wa kuamua habari gani zionekane pale pale mtu anapotafuta jina fulani la biashara kwenye tovuti ya utafutaji ya Google. Huduma hii inawawezesha watu kuthibitisha taarifa za biashara zao kama vile jina, anuani, n.k.<ref>{{cite news |url=http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |title=Phone and Text Verification on Google Maps |publisher=Chaddo.com |date=June 7, 2017 |access-date=January 2, 2018 |deadurl=no |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180103072631/http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |archivedate=January 3, 2018}}</ref> Biashara zilizojisajili kwenye Google My Business listing hutokea pia kwenye [[Google Maps]]. Inasaidia pia biashara ndogo kupata wateja kupitia mtandao kwa kuwa matokeo ya utafutaji huonyesha aina za biashara zinazotafutwa katika makazi ya mtafutaji. <ref>{{cite web |url= ▼
https://www.primal.co.th/seo/google-my-business-improve-seo/ |title=Google My Businessː The Key to Local SEO }}</ref>
▲'''Google My Business''' ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na [[Google]]. Huduma hii ilizinduliwa Juni 2014<ref>{{Cite web|url=https://www.postbulletin.com/marketing/a-brief-history-of-google-my-business/article_a8233a88-81f7-11e7-9bd9-f75e295737ab.html|title=A Brief History of Google My Business|last=Consultant|first=Ron Hanson, Post Bulletin Senior Media|website=PostBulletin.com|language=en|access-date=2019-02-06}}</ref> kama njia ya kuwapa wamiliki wa kampuni za biashara uwezo zaidi wa kuamua habari gani zionekane pale pale mtu anapotafuta jina fulani la biashara kwenye tovuti ya utafutaji ya Google. Huduma hii inawawezesha watu kuthibitisha taarifa za biashara zao kama vile jina, anuani, n.k.<ref>{{cite news |url=http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |title=Phone and Text Verification on Google Maps |publisher=Chaddo.com |date=June 7, 2017 |access-date=January 2, 2018 |deadurl=no |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180103072631/http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |archivedate=January 3, 2018}}</ref> Biashara zilizojisajili kwenye Google My Business listing hutokea pia kwenye [[Google Maps]].
|