Batiki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' thumb|upright|200px|Batiki ya Indonesia '''Batiki''' ni ufundi wa u...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:COLLECTIE TROPENMUSEUM Katoenen wikkelrok met geometrisch patroon TMnr 5713-2.jpg|thumb|upright|200px|Batiki ya Indonesia]]
'''Batiki''' ni [[ufundi]] wa [[uchapaji]] [[urembo]] kwenye [[nguo]] kwa kutumia [[rangi]] na [[nta]] ambao una [[asili]] ya [[Indonesia]]. <ref name="BG-What is Batik?">{{cite web | title = What is Batik? | work = The Batik Guild | url = http://www.batikguild.org.uk/batik/what-is-batik}}</ref>
[[Desturi]] ya kutengeneza nguo za batiki ipo katika nchi mbalimbali ila [[Indonesia]]
Ingawa batiki inatengenezwa kwenye [[miji]] mbalimbali huko Indoesia<ref>{{cite web |url=
http://batik-s128.com/blog/handwriting-batik-batik-tulis-and-cities-in-indonesia-that-produce-it/ |title=Handwriting Batik (Batik Tulis) And Cities In Indonesia That Produce It|accessdate= June 26, 2019 }}</ref>, batiki ya [[kisiwa]] cha [[Java]]
Mnamo [[Oktoba]] [[2009]], [[UNESCO]] iliitambua batiki ya Indonesia kuwa [[Urithi wa Dunia|Masterpiece of Oral and Intangible Heritage of Humanity]].<ref name=UNESCO>{{cite web |title="Indonesian Batik", Inscribed in 2009 on the Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity |url=http://www.unesco.org/culture/ich/RL/00170 |publisher=UNESCO |accessdate=10 October 2014 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20141012213838/http://www.unesco.org/culture/ich/RL/00170 |archivedate=12 October 2014 |df=dmy }}</ref>
Neno ''batik'' linatokana na lugha ya [[Kijava]]. Huenda limetokana na neno la Kijava ''amba'' ('kuandika') na ''titik'' ('kitone'), au limetokana na neno lenye asili ya [[Proto-Austronesia]] ''*beCík'' ('kuchora mwilini'). Neno hili lilitokea kwa mara ya kwanza kwenye [[Kamusi Elezo ya Britannica]] mwaka 1880, ambapo liliandikwa ''battik''. Wakati wa ukoloni wa [[Uholanzi]] maneno yaliyotumika ni pamoja na: ''mbatek'', ''mbatik'', ''batek'' and ''batik''.<ref>[http://dictionary.oed.com/cgi/entry/50018371?single=1&query_type=word&queryword=batik&first=1&max_to_show=10 Oxford English Dictionary: ''Batik'']</ref><ref>[http://dictionary.reference.com/search?r=2&q=batik Dictionary.com: ''Batik'']</ref><ref>{{cite journal | jstor=3623057 | title=Austronesian Etymologies - IV | author=Blust, Robert | journal=Oceanic Linguistics | date=Winter 1989 | volume=28 | issue=2 | pages=111–180 | authorlink=Robert Blust | doi=10.2307/3623057}}</ref>▼
▲[[Neno]] ''batik'' linatokana na [[lugha]] ya [[Kijava]]. Huenda limetokana na neno la Kijava ''amba'' ('kuandika') na ''titik'' ('kitone'), au limetokana na neno lenye asili ya [[Proto-Austronesia]] ''*beCík'' ('kuchora mwilini'). Neno hili lilitokea kwa mara ya kwanza kwenye [[Kamusi Elezo ya Britannica]] [[mwaka]] [[1880]], ambapo liliandikwa ''battik''. Wakati wa [[ukoloni]] wa [[Uholanzi]] maneno yaliyotumika ni pamoja na: ''mbatek'', ''mbatik'', ''batek''
==Marejeo==
{{reflist|33em}}
==Viungo vya nje==
Line 23 ⟶ 24:
* [http://libmma.contentdm.oclc.org/cdm/compoundobject/collection/p15324coll10/id/58864 Early Indonesian textiles from three island cultures: Sumba, Toraja, Lampung], exhibition catalogue from Metropolitan Museum of Art Libraries
* [http://www.expat.or.id/info/batik.html Batik, the Traditional Fabric of Indonesia] an article about batik from Living in Indonesia
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Sanaa]]
[[Jamii:Mavazi]]
|