Google My Business : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Google My Business''' ni [[huduma]] ya [[Mtandao|mtandaoni]] kwa [[mmiliki|wamiliki]] wa [[kampuni]] za [[biashara]] inayoendeshwa na [[Google]]. Huduma hiihiyo ilizinduliwa mnamo [[Juni]] [[2014]]<ref>{{Cite web|url=https://www.postbulletin.com/marketing/a-brief-history-of-google-my-business/article_a8233a88-81f7-11e7-9bd9-f75e295737ab.html|title=A Brief History of Google My Business|last=Consultant|first=Ron Hanson, Post Bulletin Senior Media|website=PostBulletin.com|language=en|access-date=2019-02-06}}</ref> kama njia ya kuwapa wamiliki wa kampuni za biashara uwezo zaidi wa kuamua habari gani zionekane pale pale mtu anapotafuta jina fulani la biashara kwenye tovuti ya utafutaji ya Google. Huduma hii inawawezesha watu kuthibitisha taarifa za biashara zao kama vile jina, anuani, n.k.<ref>{{cite news |url=http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |title=Phone and Text Verification on Google Maps |publisher=Chaddo.com |date=June 7, 2017 |access-date=January 2, 2018 |deadurl=no |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180103072631/http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |archivedate=January 3, 2018}}</ref> Biashara zilizojisajili kwenye Google My Business listing hutokea pia kwenye [[Google Maps]]. Inasaidia pia biashara ndogo kupata wateja kupitia mtandao kwa kuwa matokeo ya utafutaji huonyesha aina za biashara zinazotafutwa katika makazi ya mtafutaji. <ref>{{cite web |url=
https://www.primal.co.th/seo/google-my-business-improve-seo/ |title=Google My Businessː The Key to Local SEO }}</ref>
 
 
Maelezo ambayo hutokeza kwenye tovuti ya Google kutokana na huduma hii ni pamoja na saa za kufunguliwa kwa biashara, anuani, simu, na picha.<ref>{{cite web |title=Edit your business listing on Google |url=https://support.google.com/business/answer/3039617 |website=support.google.com |accessdate=2019-03-02}}</ref> Google may combine the information provided by businesses with information from other sources, including a business's own website, Google user contributions, and third party websites.<ref>{{cite web |url=https://support.google.com/business/answer/2721884 |title=How Google uses business information |website=support.google.com |accessdate=2019-03-02}}</ref> Huduma hii hutolewa bure.<ref>{{cite web |title=FAQs |url=https://www.google.com/business/resources/ |accessdate=2019-03-02}}</ref>
===Tovuti===
Google My Business huwezesha wenye biashara kuunda tovuti zao bila gharama yotote.<ref>{{cite web |title=Create a free website for your business in minutes. |url=https://www.google.com/business/how-it-works/website/ |accessdate=2019-03-02}}</ref>
 
 
=== Picha na video ===
== Viungo vya nje ==
* {{Official website|https://www.google.com/business}}
{{mbegu-kompyuta}}
[[Jamii:Kompyuta]]