Margaret Mwanakatwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' {{Infobox Officeholder | name = Margaret Mwanakatwe | image = | image_size = | caption = | birth_date = {{Birth date and age|1961|11|01|df=yes}} | bi...'
 
No edit summary
Mstari 1:
 
{{Infobox Officeholder
| name = Margaret Mwanakatwe
Line 46 ⟶ 45:
}}
 
'''Margaret Mhango Mwanakatwe''' (alizaliwa [[1 Novemba]] [[1961]]) ni [[Waziri wa Fedha]] wa [[Zambia]] na [[mbunge]] wa [[jimbo]] la [[Lusaka Kati]] wa [[Chama cha kisiasa|chama]] cha [[Patriotic Front]].

Awali alifanya [[kazi]] mbalimbali zikiwemo [[biashara]], [[uhasibu]], na [[ofisa]] wa [[benki]]. Alikuwa ni [[mkurugenzi]] wa [[maendeleo]] ya kibiashara kwa nchi zinazozungumza [[Kiingereza]] [[Afrika]] katika benki ya [[United Bank for Africa]] kwenye makao yake makuu [[Lagos]], [[Nigeria]]. Alisimamia maendeleo ya kibiashara kwenye nchi za [[Kameruni]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Ghana]], [[Kenya]], [[Liberia]], [[Msumbiji]], [[Tanzania]], [[Uganda]], na Zambia. Kabla ya hapo alikuwa [[mkurugenzi mkuu]] wa [[United Bank for Africa (Uganda)|United Bank for Africa Uganda Limited]] toka Machi 2009 hadi Mei 2011.
 
Kabla ya hapo alikuwa [[mkurugenzi mkuu]] wa [[United Bank for Africa (Uganda)|United Bank for Africa Uganda Limited]] toka Machi 2009 hadi Mei 2011.
 
Alizaliwa Zambia Novemba 1 1961. Ana shahada ya [[Business Administration]] na pia ni [[Chartered Certified Accountant]], anayetambuliwa na [[Association of Chartered Certified Accountants]] of London.
==Historia==
Alizaliwa Zambia Novemba 1 1961. Ana shahada ya [[Business Administration]] na pia ni [[Chartered Certified Accountant]], anayetambuliwa na [[Association of Chartered Certified Accountants]] of London.
 
==Marejeo==
Line 58 ⟶ 59:
* [http://ukzambians.co.uk/home/?p=208 Overview of Margaret Mwanakatwe's Work In Ghana]
* [http://www.parliament.gov.zm/node/3754 Kuhusu Magraret Mwanakatwe kwenye tovuti ya Bunge la Zambia]
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1961|}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Zambia]]