Khanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:African print on cloth.JPG|thumb|Khanga [[Duka|dukani]].]]
 
'''Khanga''' ni [[vazi]] au [[nguo]] nyepesi pia ndefu ya [[rangi]] ambayo hupendwa kuvaliwa na [[wanawake]], hasa nchi za [[Afrika Mashariki]] na [[Nigeria]].
'''Khanga''' ni [[vazi]] au [[nguo]] nyepesi pia ndefu ya [[rangi]] ambayo hupendwa kuvaliwa na [[wanawake]], hasa nchi za [[Afrika Mashariki]] na [[Afrika Magharibi]].Kawaida kanga huwa na upana wa sentimita 150 na urefu wa sentimita 110. Kanga huweza kutumiwa vazi rasmi, kitambaa cha kichwani, [[taulo]], na kutumika kwa shughuli mbalimbali kama kubeba watoto, kitambaa cha mezani, au kutumika kubeba mizigo kichwani. Hutumiwa pia kama zawadi kwenye sherehe za kuzaliwa, harusi, n.k.<ref name=":1">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/34052769|title=The art of African textiles : technology, tradition, and lurex|last=John.|first=Picton,|date=1995|publisher=Barbican Art Gallery|others=Becker, Rayda., Barbican Art Gallery.|isbn=0853316821|location=London|oclc=34052769}}</ref> Hutolewa pia kwa familia iliyofiwa na ndugu yao nchini [[Tanzania]]. Kanga inafanana na [[Kikoi]] ambacho kawaida huvaliwa na wanaume.
 
Mwanzoni kanga ilikuwa irembwa kwa vitone vidogo ambavyo vilionekana na manyonya ya ndege aina ya [[kanga]]. Hii ndio sababu ilipewa jina hili.
 
Kanga huwa na sehemu tatu: ''pindo'', ''mji'' (sehemu ya kati), na ''ujumbe''. Ujumbe mara nyingi huwa ni kitendawili au fumbo.
 
Hii ni mifano ya ujumbe wa kwenye kangaː
 
*''Majivuno hayafai''f<ref name=translations>{{cite web |url=http://www.erieartmuseum.org/exhibits/exhibits2008/kanga/documents/Translations.pdf |title=Alphabetical List of Inscriptions and Their Translations: Kanga & Kitenge: Cloth and Culture in East Africa |publisher=[[Erie Art Museum]] |accessdate=18 December 2009 |deadurl=yes |archiveurl=https://www.webcitation.org/69pcPEZ7C?url=http://www.erieartmuseum.org/exhibits/exhibits2008/kanga/documents/Translations.pdf |archivedate=11 August 2012 |df= }}</ref>
*''Mkipendana mambo huwa sawa''
*''Japo sipati tamaa sikati'' <ref name=translations/>
*''Wazazi ni dhahabu kuwatunza ni thawabu'': <ref name=translations/>
*''Sisi sote abiria dereva ni Mungu''<ref name=translations/>
*''Fimbo La Mnyonge Halina Nguvu''<ref>{{cite news |last=Howden |first=Daniel |title=Kangalicious: Let your dress do the talking |url=https://www.independent.co.uk/life-style/fashion/news/kangalicious-let-your-dress-do-the-talking-1820408.html |work=The Independent |date=14 November 2009 |accessdate=14 November 2009 |quote=Anyone wearing a kanga with the proverb Fimbo La Mnyonge Halina Nguvu" (Might is Right) may know something about the darker side of the garment's journey from the coast into the interior.}}</ref>
*''Mwanamke mazingira tunataka, usawa, amani, maendelo''<ref name=translations/>
*''Naogopa simba na meno yake siogopi mtu kwa maneno yake''<ref name=translations/>.
*''Leo ni siku ya shangwe na vigelegele''
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
{{commons category|Kanga}}
*[http://www.glcom.com/hassan/kanga/kanga1.html Picha za kanga]
*[http://www.glcom.com/hassan/kanga.html Ujumbe wa kanga]
*[http://www.afriprov.org/bibliography/367--collection-of-and-commentary-on-436-sayings-on-east-african-cloth-misemo-kwenye-khanga-na-vitenge-vya-afrika-mashariki.html Mkusanyiko wa misemo 436 ya kanga Afrika Mashariki] {{en-icon}}
 
{{mbegu-utamaduni}}