Tofauti kati ya marekesbisho "Khanga"

8 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Mwanzoni kanga ilikuwa irembwa kwa vitone vidogo ambavyo vilionekana na manyonya ya ndege aina ya [[kanga]]. Hii ndio sababu ilipewa jina hili.
 
Kanga huwa na sehemu tatu: ''pindo'', ''mji'' (sehemu ya kati), na ''ujumbe''. Ujumbe mara nyingi huwa ni [[kitendawili]] au [[fumbo]].
 
Hii ni mifano ya ujumbe wa kwenye kangaː