Tofauti kati ya marekesbisho "Selulitisi"

2 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Selulitisi''' ni ugonjwa unaotokana na bakteria unaoathiri ngozi.<ref>{{cite web |title=What is Cellulitis |url=https://www.ecellulitis.com/what-is-cellu...')
 
'''Selulitisi''' ni ugonjwa unaotokana na [[bakteria]] unaoathiri ngozi.<ref>{{cite web |title=What is Cellulitis |url=https://www.ecellulitis.com/what-is-cellulitis/ |website=ecellulitis.com |accessdate=2019-06-28}}</ref> Dalili zake ni pamoja na ngozi kubadilika rangi na kuwa nyekundu na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na maumivu. <ref>{{cite book |author=Tintinalli, Judith E. |title=Emergency Medicine: A Comprehensive Study Guide (Emergency Medicine (Tintinalli)) |publisher=McGraw-Hill Companies |location=New York |year=2010 |pages=1016 |edition=7th |isbn=978-0-07-148480-0}}</ref> andMgonjwa theanaweza personkuwa may have ana [[feverhoma]] andna feelkujisikia tiredmchovu.<ref name=Mint2013>{{cite journal|last=Mistry|first=RD|title=Skin and soft tissue infections |journal=Pediatric Clinics of North America |date=Oct 2013|volume=60|issue=5|pages=1063–82|pmid=24093896|doi=10.1016/j.pcl.2013.06.011}}</ref>
 
Miguu na uso ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili. Kati ya sababu zinazowezesha mtu kupata ugonjwa huu ni pamoja na unene kupita kiasi, kuvimba kwa miguu, na uzee. Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu ni [[streptococci]] na ''[[Staphylococcus aureus]]''.