Khanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:African print on cloth.JPG|thumb|Khanga [[Duka|dukani]].]]
'''Khanga''' (au '''kanga''') ni [[vazi]] au [[nguo]] nyepesi pia ndefu ya [[rangi]] ambayo hupendwa kuvaliwa na [[wanawake]], hasa nchi za [[Afrika Mashariki]] na [[Afrika Magharibi]]. Kanga inafanana na [[kikoi]] ambacho kawaida huvaliwa na [[wanaume]].
 
Kwa kawaida kanga huwa na [[upana]] wa [[sentimita]] 150 na [[urefu]] wa sentimita 110. Kanga huweza kutumiwa kama vazi rasmi, [[kitambaa]] cha [[Kichwa|kichwani]], [[taulo]], kitambaa cha [[Meza|mezani]] na kwa shughuli mbalimbali kama kubeba [[watoto]] au kubeba mizigo kichwani.
'''Khanga''' ni [[vazi]] au [[nguo]] nyepesi pia ndefu ya [[rangi]] ambayo hupendwa kuvaliwa na [[wanawake]], hasa nchi za [[Afrika Mashariki]] na [[Afrika Magharibi]].Kawaida kanga huwa na upana wa sentimita 150 na urefu wa sentimita 110. Kanga huweza kutumiwa vazi rasmi, kitambaa cha kichwani, [[taulo]], na kutumika kwa shughuli mbalimbali kama kubeba watoto, kitambaa cha mezani, au kutumika kubeba mizigo kichwani. Hutumiwa pia kama zawadi kwenye sherehe za kuzaliwa, harusi, n.k.<ref name=":1">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/34052769|title=The art of African textiles : technology, tradition, and lurex|last=John.|first=Picton,|date=1995|publisher=Barbican Art Gallery|others=Becker, Rayda., Barbican Art Gallery.|isbn=0853316821|location=London|oclc=34052769}}</ref> Hutolewa pia kwa familia iliyofiwa na ndugu yao nchini [[Tanzania]]. Kanga inafanana na [[Kikoi]] ambacho kawaida huvaliwa na wanaume.
 
'''Khanga''' ni [[vazi]] au [[nguo]] nyepesiHutumiwa pia ndefu yakama [[rangizawadi]] ambayo hupendwa kuvaliwa nakwenye [[wanawakesherehe]], hasa nchi za [[Afrika Mashariki]] na [[Afrika Magharibi]].Kawaida kanga huwa na upana wa sentimita 150 na urefu wa sentimita 110. Kanga huweza kutumiwa vazi rasmi, kitambaa cha kichwanikuzaliwa, [[tauloharusi]], na kutumika kwa shughuli mbalimbali kama kubeba watoto, kitambaa cha mezani, au kutumika kubeba mizigo kichwani. Hutumiwa pia kama zawadi kwenye sherehe za kuzaliwa, harusi, n.k.<ref name=":1">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/34052769|title=The art of African textiles : technology, tradition, and lurex|last=John.|first=Picton,|date=1995|publisher=Barbican Art Gallery|others=Becker, Rayda., Barbican Art Gallery.|isbn=0853316821|location=London|oclc=34052769}}</ref> Hutolewa pia kwa [[familia]] iliyofiwa na [[ndugu]] yao nchini [[Tanzania]]. Kanga inafanana na [[Kikoi]] ambacho kawaida huvaliwa na wanaume.
Mwanzoni kanga ilikuwa irembwa kwa vitone vidogo ambavyo vilionekana na manyonya ya ndege aina ya [[kanga]]. Hii ndio sababu ilipewa jina hili.
 
Mwanzoni kanga ilikuwa irembwaikirembwa kwa vitone vidogo ambavyo vilionekana na [[unyonya|manyonya]] ya [[Ndege (mnyama)|ndege]] aina ya [[kanga]]. Hii ndioNdiyo sababu ilipewa [[jina]] hili.
Kanga huwa na sehemu tatu: ''pindo'', ''mji'' (sehemu ya kati), na ''ujumbe''. Ujumbe mara nyingi huwa ni [[kitendawili]] au [[fumbo]].
 
Kanga huwa na sehemu tatu: ''pindo'', ''mji'' (sehemu ya kati), na ''ujumbe''. [[Ujumbe]] mara nyingi huwa ni [[kitendawili]] au [[fumbo]].
 
Hii ni mifano ya ujumbe wa kwenye kangaː
Line 31 ⟶ 34:
 
[[Jamii:Mavazi]]
[[Jamii:Utamaduni wa Afrika]]