Waraka wa kwanza kwa Wathesaloniki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
 
== Muda wa uandishi ==
Barua hiyo ni andiko la kwanza la [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] kwa kuwa ni wa [[mwaka]] 51[[50]] hiviau [[51]].
 
== Mazingira ==
[[Paulo]] alikuwa amekimbiaamelazimika kukimbia [[Thesalonike]] baada ya [[wiki]] 3 tu za [[utume]], hivyo aliogopa kwamba huenda [[dhuluma]] zikawakatisha [[wanafunzi]] wake tamaa. Kumbe, akina [[Timotheo]] walipofika [[Korintho]] toka [[Thesaloniki]], walimpa [[Mtume Paulo]] ripoti kuhusu hali ya [[Kanisa]] la kule na kumuondolea wasiwasi: dhuluma zilikuwa zikiendelea lakini [[Wakristo]] wachanga wa huko niwako imara katika [[imani]] yao mpya, isipokuwa hawaelewi vizuri mambo fulanifulani, hasa kuhusu [[vikomo vya binadamu]].
 
Hapo Paulo akawaandikia kwa [[furaha]] barua tuliyonayo mpaka leo ili kuwahimiza na kuwaelimisha zaidi: haina mafundisho mazito isipokuwa kuhusu mambo ya mwisho (hali ya [[marehemu]] na [[ujio wa pili wa Bwana]]).
Mstari 19:
 
== Viungo vya nje ==
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
===Vinginevyo===
{{wikisource|1 Thessalonians}}
{{wikiquote}}
 
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
===Mengineyo===
* [http://www.newadvent.org/cathen/14629d.htm Epistles to the Thessalonians] entry in the [[Catholic Encyclopedia]]
{{mbegu-AganoJ}}