Waraka kwa Waroma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 3:
'''Waraka kwa Waroma''' ni [[kitabu]] kimojawapo cha [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Andiko hili ni [[barua]] ya [[Paulo wa Tarso]] kwa [[ushirika]] wa [[Wakristo]] katika [[mji mkuu]] wa [[Dola la Roma]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Umuhimu wake==
Kati ya [[maandiko]] matakatifu ya [[Agano Jipya]] na ya [[Biblia]] kwa jumla, barua ya [[Mtume Paulo]] kwa [[Wakristo]] wa [[Roma]] ina umuhimu wa pekee uliokusudiwa naye mwenyewe.
 
==Mazingira==
Ingawa Paulo alikaa [[Efeso]] karibu miaka mitatu, lakini [[moyo]] wake wa [[umisionari|kimisionari]] haukutulia kwa sababu alikumbuka alivyotabiriwa atafanya [[kazi]] hata mbali zaidi. Ndiyo maana alitaka kwenda [[Ulaya magharibi]], yaani [[Roma]] na halafu [[Hispania]], [[nchi]] iliyohesabika kuwa mwisho wa [[dunia]]. Ila kabla ya kwenda huko alipanga kuwaletea Wakristo wa [[Yerusalemu]] mchango wa wenzao wa mataifa.
 
Basi, mwishoni mwa miezi mitatu aliyokaa [[Korintho]] ([[Mdo]] 20:2-3) akijiandaa kupanda [[meli]], yaani mwanzoni mwa [[mwaka]] [[58]], Paulo aliwaandikia Wakristo wa Roma ili kuandaa [[utume]] atakaoufanya katika [[jiji]] hilo.
Ndiyo maana alitaka kwenda [[Ulaya magharibi]], yaani [[Roma]] na halafu [[Hispania]], [[nchi]] iliyohesabika kuwa mwisho wa [[dunia]]. Ila kabla ya kwenda huko alipanga kuwaletea Wakristo wa [[Yerusalemu]] mchango wa wenzao wa mataifa.
 
Huko [[Ukristo]] uliingia toka mwanzo kabisa, ukiletwa na baadhi ya [[Wayahudi]] wengi walioishi Roma ambao [[ubatizo|walibatizwa]] [[Yerusalemu]] kwenye [[Pentekoste]] ya mwaka [[30]] (Mdo 2:1-12).
Basi, mwishoni mwa miezi mitatu aliyokaa [[Korintho]] ([[Mdo]] 20:2-3) akijiandaa kupanda [[meli]], yaani mwanzoni mwa mwaka [[58]], Paulo aliwaandikia Wakristo wa Roma ili kuandaa [[utume]] atakaoufanya katika [[jiji]] hilo.
 
Wayahudi wote walipofukuzwa na [[Kaisari Klaudio]] ([[49]]), Wakristo wa [[mataifa]] mengine wakabaki ndio wengi, nao wakaachana na masharti mbalimbali za dini ya [[Uyahudi|Kiyahudi]], kama yale kuhusu [[vyakula]].
Huko [[Ukristo]] uliingia toka mwanzo kabisa, ukiletwa na baadhi ya [[Wayahudi]] wengi walioishi Roma ambao [[ubatizo|walibatizwa]] [[Yerusalemu]] kwenye [[Pentekoste]] ya mwaka [[30]].
 
Wayahudi wote walipofukuzwa na [[Kaisari Klaudio]] ([[49]]), Wakristo wa mataifa mengine wakabaki ndio wengi, nao wakaachana na masharti mbalimbali za [[Uyahudi|Kiyahudi]], kama yale kuhusu vyakula.
 
[[Muda]] mfupi baada ya Klaudio kufa ([[54]]), Wayahudi walianza kurudi, kumbe wale ambao kati yao walikuwa wamemuamini [[Yesu]] wakakuta mabadiliko hayo makubwa ndani ya [[Kanisa]], nao wakajiona wamewekwa pembeni kidogo, kama si kudharauliwa na Wakristo wa mataifa.
 
Mtume Paulo akijua [[umuhimu]] wa Roma, [[mji mkuu]] wa [[ulimwengu]] wa zamani hizo, aliwaandikia Wakristo wa huko [[barua]] ndefu tena nzito kuliko zote. Alitaka kuwaeleza kwa maandishi ya mpango mafundisho yake kuhusu [[wokovu]], kwa sababu walikuwa wamesikia habari tofautitofauti juu yake bila ya kukutana naye.
 
Alitaka kuwaeleza kwa maandishi ya mpango mafundisho yake kuhusu [[wokovu]], kwa sababu walikuwa wamesikia habari tofautitofauti juu yake bila ya kukutana naye.
 
Pamoja na kuwaandaa hivyo wampokee vizuri, alichukua nafasi ya kuimarisha [[umoja]] wao ulioingia [[dosari]].
 
Akiandika kwa [[utulivu]] mkubwa kuhusu mambo aliyokwishawaongelea kwa [[hasira]] [[Wagalatia]], Paulo aliweza kuinua pande zote [[mbili]] za [[Kanisa]] hilo zielewe zaidi [[fumbo]] la mpango wa [[Mungu]] kwa ajili ya [[watu]] wote, na hivyo ziheshimiane kwa [[upendo]], ulio [[utimilifu]] wa [[Torati]].
 
Hasa aliwaonya Wakristo wa mataifa wasidharau [[Wayahudi]], kwa sababu hao bado ni wateule wa Mungu.
Line 40 ⟶ 36:
Paulo alisisitiza kwamba wote ni wakosefu na wanaweza kuokolewa na Mungu tu: hiyo ni [[neema]] tupu, maana hakuna anayeweza kuistahili kwa [[juhudi]] zake.
 
Neema hiyo tunaipata kwa kumuamini [[Yesu]] ambaye [[Kifo cha Yesu|alikufa]] [[Ufufuko wa Yesu|akafufuka]] kwa ajili yetu ili sisi tuishi upya kwa ajili yake tukiongozwa na [[Roho Mtakatifu]].
 
Chini yake Mkristo atafanya mema mengi na makubwa kuliko yale yanayodaiwa na Torati, ambayo ni njema lakini haitutii [[nguvu]] ya kuitekeleza.
Line 48 ⟶ 44:
Hata hivyo pande zote mbili zilishindwa kufaidika na miongozo hiyo wakahitaji [[msaada]] bora zaidi ili kumpendeza Mungu.
 
[[Uadilifu]] sasa unapatikana kwa [[imani]] na [[ubatizo]] katika [[Kifo cha Yesu|kifo]] na [[ufufuko wa Yesu]].
 
Hiyo [[njia]] mpya ya Mungu kuwaokoa watu wote haiendi kinyume cha [[ahadi]] zake kwa [[Israeli ya Kale]]. Paulo anathibitisha hilo kwa hatua nne akitumia madondoo mengi ya [[Agano la Kale]]. Hamzungumzii Myahudi mmojammoja, bali wote jumla; wala hazungumzii [[jukumu]] lao kuhusu kifo cha Yesu.
 
[[Maadili]] mema yatafuata kama [[matunda]], na Paulo, kama kawaida ya Wakristo wa kwanza, baada ya [[ujumbe]] au fundisho la [[imani]], anayaeleza hasa katika sehemu ya pili ambayo ina [[mawaidha]] mbalimbali (Rom 12:1-2,9-21; 13:8-14), yakifuatwa na [[taarifa]], [[salamu]] na [[doksolojia]].
 
Kwa kuwa Paulo hakuwafahamu vizuri Wakristo wa Roma, maneno yake ni ya jumla na si ya mpangokinaganaga. Hasa ni kwamba madai ya [[Torati]] hayawezi kuongoza mwenendo wa Mkristo, lakini huyo anatakiwa kuzingatia anavyodaiwa hasa [[upendo]] kwa wote.
 
[[Maisha]] ya Mkristo yawe [[ibada]] kwa [[Mungu]] katika [[Roho Mtakatifu]]. [[Umoja wa Kanisa]] unamdai ajitahidi kushinda mabaya kwa mema. Kila [[kiungo]] cha [[mwili]] huo mmoja anadaiwa [[juhudi]] kwa ajili ya [[ustawi wa wote]] ili [[maisha]] yawe [[sadaka]] kwa Mungu.
 
Akigusa zaidi maisha ya [[Kanisa la Roma]] ya wakati huo, yaliyovurugwa na masuala madogomadogo kuhusu vyakula na [[sikukuu]], Paulo alidai wenye nguvu watekeleze upendo kwa walio dhaifu zaidi, pamoja na [[busara]], uelewa, mfano wa [[Yesu]] na [[uaminifu]] kwake.
 
Maelekezo hayo yanaweza kusaidia daima kukabili mvutano wowote kati ya wenye mitazamo tofauti (finyu na mpana, au wa kizamani na wa kisasa zaidi). Lengo ni ule [[umoja]] uliofundishwa katika [[sura]] [[nane]] za kwanza.
 
==Marejeo==
Line 96 ⟶ 92:
* [http://www.whataboutjesus.com/new-testament/romans Book by Book: Romans], by [[Wisconsin Evangelical Lutheran Synod|WELS]]-WhatAboutJesus.com
 
[[Category: Vitabu vya Agano Jipya|Rom]]
[[Jamii:Mtume Paulo]]
[[Jamii:Roma]]