Waraka kwa Waefeso : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Barua kwa Waefeso''' ni kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] ambalo pamoja na [[Agano la Kale]] linaunda [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mazingira ==
[[Mtume Paulo]] aliweza kuandika [[barua]] hii akiwa kifungoni [[Roma]] kati ya miaka [[61]] na [[63]] ili isomwe katika [[Kanisa|makanisa]] yote ya [[mkoa]] wa [[Asia Ndogo]], wenye [[makao makuu]] [[Mji|mjini]] [[Efeso]].
 
== Mada ==
Mafundisho yake yanalingana na yale ya [[barua kwa Wakolosai]] ila yamechimbwa zaidi, kiasi kwamba barua hii inaonekana kuwa kilele cha [[teolojia]] ya Paulo.
 
Pamoja na kuchambua [[fumbo]] la [[wokovu]] katika [[Yesu Kristo]], inachambua hasa fumbo la [[Kanisa]] kama [[mwili wa Kristo]] ambamo [[kichwa]] kinaeneza wokovu [[Ulimwengu|ulimwenguni]] kote.
 
Kwa [[msingi]] huo inasisitiza na kudai [[umoja]] kamili kati ya waamini (Ef 1:1-2; 1:17-23; 2:11-22; 3:1-21; 4:1-16).
 
== Viungo vya nje =={{wikisource|Ephesians (Bible)|Ephesians}}
{{wikiquote}}
 
== Viungo vya nje ==
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
===Vinginevyo===
===Vingine===
{{wikisource|Ephesians (Bible)|Ephesians}}
{{wikiquote}}
* [http://www.vts.edu/ftpimages/95/download/download_group10628_id432549.pdf A Brief Introduction to Ephesians]
* [http://www.tyndale.ca/seminary/mtsmodular/reading-rooms/newt/ephesians Ephesians Online Reading Room] – extensive collection of online resources for Ephesians; Tyndale Seminary