Waraka kwa Wafilipi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Waraka kwa Wafilipi''' ni kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Habari Njema ilivyofika Filipi ==
Kadiri ya [[Mwinjili Luka]], [[Kanisa]] la [[Filipi]] (leo katika [[Ugiriki]] [[Kaskazini]]) lilikuwa la kwanza kuundwa na [[Mtume Paulo]] [[Bara|barani]] [[Ulaya]]. Akiwa [[shahidi]] wa tukio hilo, alisimulia hivi:
[[Mdo]] 16:11 Basi tukang’oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli; 12 na kutoka hapo tukafika Filipi, mji wa Makedonia, mji ulio mkuu katika jimbo lile, mahali walipohamia Warumi; tukawa katika mji huu, tukikaa siku kadha wa kadha. 13 Hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale. 14 Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo. 15 Hata alipokwisha kubatizwa, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae. Akatushurutisha.
 
== Mazingira ya barua ==
Katika [[Matendo ya Mitume]] [[Mwinjili Luka]] hakusimulia [[mateso]] yote ya [[Mtume Paulo]], kwa mfano alivyohukumiwa mwaka [[56]] hivi [[Efeso]] ([[1Kor]] 15:32; [[2Kor]] 1:8-9).
 
Akiwa kifungoni huko alifikiwa na [[mjumbe]] toka [[Filipi]] aliyemletea msaada wa [[pesa]] na wa [[huduma]] kwa niaba ya [[Wakristo]] wa [[mji]] huo wa [[mkoa]] wa [[Makedonia]] (leo [[Ugiriki]] [[Kaskazini]]).
 
Paulo kabla hajamrudisha alipenda kuwaandikia [[barua]] nzuri ya [[shukrani]] pamoja na kuwaeleza sababu ya kufungwa (Fil 4:10-20).
Line 22 ⟶ 23:
Kwa ajili hiyo alitumia maneno ya [[wimbo]] ambao unadhihirisha [[imani]] kamili katika umungu wa [[Kristo]], ingawa ni kati ya zile za kwanzakwanza kutungwa (Fil 1:12-3:1a; 4:4-7).
 
Lakini kuna sehemu kali kuhusu [[wazushi]] ambayo inaanza ghafla (Fil 3:1b-4:1) na kufanya baadhi ya [[wataalamu]] wadhani kuwa barua jinsi ilivyo tangu [[karne I]] ni [[mshono]] wa barua [[mbili]] au [[tatu]] za [[mtume]] huyo kwa Wafilipi.
 
==Marejeo==
Line 65 ⟶ 66:
 
== Viungo vya nje ==
{{wikiquote}}
 
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
===Ufafanuzi===
{{wikiquote}}
* [http://www.tyndale.ca/seminary/mtsmodular/reading-rooms/newt/philippians Letter to the Philippians Online Reading Room]: Commentaries and other resources (Tyndale Seminary)
* [http://biblicalstudies.org.uk/philippians.php Letter to the Philippians Online Reading Room]: Commentaries and other resources (BiblicalStudies.org.uk)