Waraka wa pili kwa Timotheo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Barua ya pili kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Ni moja ya kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
[[Mwandishi]] ni [[Mtume Paulo]] akiwa kifungoni [[Roma]] kwa mara ya mwisho, [[muda]] mfupi kabla ya kukatwa [[kichwa]] wakati wa [[dhuluma]] ([[64]]-[[67]] [[B.K.]]) ya [[Kaisari]] [[Nero]] dhidi ya [[Wakristo]].
 
Maneno yake ya buriani yanaonyesha [[tumaini]] lake ambalo alikabili hicho [[kifodini]].
 
== Viungo vya nje ==
{{wikisource|2 Timothy}}
 
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]
 
===Vinginevyo===
===Vingine===
{{wikisource|2 Timothy}}
* [http://www.wlsessays.net/files/Wendland2Timothy.pdf Second Timothy by E.H. Wendland]
* [http://www.earlychristianwritings.com/2timothy.html EarlyChristianWritings.com discussion of 2 Timothy]
* [http://www.earlychristianwritings.com/1timothy.html EarlyChristianWritings.com further discussion of the Pastorals (on the 1 Timothy page)]
{{mbegu-AganoJ}}
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya| ]]