Tofauti kati ya marekesbisho "Waraka wa tatu wa Yohane"

36 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
'''Waraka wa tatu wa Yohane''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mwandishi ==
Kuhusu [[mwandishi]] wa [[barua]] hiyo lilichelewa kutajwa [[jina]] la [[Mtume Yohane]] kutokana na yaliyomo na [[mtindo wa uandishi]] wake.
 
Kama mwandishi si yeye, ni mmoja wa [[wanafunzi]] wake aliyeandikwa mwishoni mwa [[karne ya 1]] huko [[Efeso]].
 
== Mlengwa ==
Mlengwa ni ''[[Gaio (Agano Jipya)|Gaio]]'', anayedhaniwa kuwa [[kiongozi]] mmojawapo wa [[jumuia]] fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.
 
== Viungo vya nje ==
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]
 
===Ufafanuzi===
* [http://www.kretzmannproject.org/EP_MINOR/2JO.htm The Second General Epistle of John from Kretzmann's Popular Commentary of the Bible]