Content deleted Content added
Mstari 968:
Eti ugonjwa wa Cellulitis kwa Kiswahili ni nini?--'''[[Mtumiaji:Ndesanjo|Ndesanjo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Ndesanjo|majadiliano]])''' 08:53, 27 Juni 2019 (UTC)
:Kamusi ya tiba: " '''cellulitis''' n '''selulitisi''': inflamesheni ya tishu areola (tishu unganishi)". Binafsi simpendi sana huyu aliyetunga kamusi hii maana alikuwa mvivu kiasi, akitumia kimsingi maneno ya Kilatini tu na kuyaswahilisha kidogo mwishoni. Ila tu hatuna nyingine kwa hiyo twende naye. Ndesanjo: tafadhali andikisha email yako hapa, nitakutumia kmusi hii '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 21:55, 27 Juni 2019 (UTC)
:::Asante. Nipo ndesanjo at gmail--'''[[Mtumiaji:Ndesanjo|Ndesanjo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Ndesanjo|majadiliano]])''' 03:02, 29 Juni 2019 (UTC)
::Asante Kipala kwa kujibu kwa niaba yangu. Bila kuangalia kamusi hiyo ya kivivu nilikuwa nafikiria kutohoa "selulaiti". Amani kwenu! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 06:44, 28 Juni 2019 (UTC)
:::Samahani kwa kukanyaga shamba lako! Nilipoona swali la Ndesanjo kwenye "mabadiliko ya karibuni" nilikuwa nimefungua kamusi ile, badi nilikuwa mbioni... '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 16:43, 28 Juni 2019 (UTC)