Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga''' ([[Ing.]] '''International Air Transport Association - IATA''' ) ni umoja wa kimataifa wa makampuni ya usafiri kwa ndege. Makao makuu yake yako [[Montreal]], [[Quebec]] nchini [[Kanada]] ambako kuna pia makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa Kiraia (International Civil Aviation Organization).
IATA ilianzishwa mwaka 1945 kama ushirikiano wa makampuni makubwa ya ndege. Leo hii kuna takriban makampuni wanachama 240. Haya ni hasa makampuni ya kitaifa au maampunimakampuni makubwa ya kibiashara yanayotoa huduma za kimataifa. ShirikaMashirika nyingimadogo ndogo zinazohudumiayanayohudumia nchi moja tu pia shirikamashirika ya ndege za kukodi mara nyingi si wanachama.
 
Kati ya kazi za IATA kunani jitihada za kusanifisha tiketi za usafiri wa ndege kwa shabaha ya kuwezesha abiria kusafiri kwa shirikamashirika mabalimbali kwa kutumia tiketi 1 tu. IATA inasaidia pia mapatano kati ya shirikamashirika wanachama kukubaliana kati yao tiketizatiketi za makampuni nyinginemengine.
 
Kazi muhimu nyingine ni kutoa kodo fupi kwa kila shirika na kila uwnjauwanja wa ndege. IATA inalenga pia kusanifisha taratibu za usalama kati ya makampuni ya usafiri kwa ndege.
 
== ShirikiMashirika wanachama ==
ShirikaMashirika zifuatazoyafuatayo ni wanachama wa IATA. :<ref>[http://www.iata.org/membership/Pages/airline_members_list.aspx?All=true IATA – All Member Airlines] </ref>
 
{| class="wikitable sortable" width="100%"
Mstari 452:
 
==Marejeo==
{{reflist}}
<references>
 
==Viungo vya nje==
*[https://www.iata.org/ Tovuti rasmi]