Eneo la utawala : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Eneo la utawala''' ni sehemu ya nchi iliyotengwa kwa madhumuni ya utawala. Kwa kawaida kuna ngazi tofauti kama vile mkoa, wilaya, tarafa, ...' |
No edit summary |
||
Mstari 5:
Madaraka ya kila ngazi ya utawala hutegemea katiba na siasa ya nchi.
*katika [[shirikisho|mfumo wa shirikisho]] ''(federal system)'' madaraka yote hugawiwa kati ya ngazi ya kitaifa na ngazi ya vitengo vikuu vinavyounda shirikisho la nchi, kama majimbo, madola au mikoa. Mifano ni [[Afrika Kusini]], [[Nigeria]], [[Marekani]] au [[Ujerumani]]
*katika mfumo wa serikali moja ''(unitary system)'' madaraka yote yako mkononi mwa bunge la kitaifa na serikali kuu. Hapa ngazi za chini huwa na madaraka yanayokabidhiwa kutoka juu zikiwa kama ofisi ndogo chini ya serikali kuu.
* katika kila mfumo kuna uwezekano kwamba maeneo ya ngazi ya chini kama manisipaa, miji, kata au vijiji huwa na madaraka ya pekee yanayotajwa katika katiba ya nchi.
==Ngazi za utawala==
Majina ya vitengo vya kiutawala hutofautiana kati ya nchi na nchi. Kwa kusudi za kulinganisha hutajwa mara nyingi kufuatana na ngazi chini ya serikali kuu
* Ngazi ya kwanza: mfano mikoa ya Tanzania, kaunti za Kenya, majimbo ya Marekani
* ngazi ya pili: mfano ni wilaya za Tanzania, sub county za Kenya,
NUTS 0
(Nationalstaaten)[2]
NUTS 1
“major socio-economic regions (grouping basic regions)” … größere Regionen/Landesteile
NUTS 2
“basic regions (for the application of regional policies)” … mittelgroße Regionen, Millionenstädte
NUTS 3
“small regions (for specific diagnoses)” … kleinere Regionen, teils schon Großstädte
Die früheren Ebenen NUTS 4 bzw. NUTS 5 wurden mit der im Juli 2003 in Kraft getretenen Verordnung umbenannt in LAU 1 bzw. LAU 2 (Local Administrative Units). Sie stellen heute eine – bisher gewissermaßen unverbindliche – zusätzliche statistische Ergänzung zum NUTS-System dar.[3]
LAU 1
o.A. … kommunale Verwaltungsverbände, teils Gemeinden (nicht in allen Staaten definiert)
LAU 2
“municipalities or equivalent units” … Gemeinden, teils Gemeindegliederungen
|