Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Ndesanjo"

no edit summary
==Email==
Habari, nilipotaja email nilimaanisha: unaweza kubadilisha settings za akaunti yako ya mtumiaji hapa wikipedia na kuruhusu mawasiliano kwa baruapepe. Ukitazama ukurasa wangu utaona upande wa kushoto chini ya "Vifaa" pa mstari "Email this user". Hapa sionyeshi anwani yangu kwa watu wote lakini kila mtu anaweza kuniandikia. LAbda na wewe ubadilishe settings hizi kwako? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:47, 29 Juni 2019 (UTC)
:Asante. Kumbe sikukuelewa. Ngoja basi nitafanya. Na kamusi nimeipata. Nashukuru. --'''[[Mtumiaji:Ndesanjo|Ndesanjo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Ndesanjo#top|majadiliano]])''' 03:10, 30 Juni 2019 (UTC)