Tofauti kati ya marekesbisho "Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga"

no edit summary
'''Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga''' (kwa [[Ing.Kiingereza]]: '''International Air Transport Association - IATA''' ) ni [[umoja]] wa kimataifa wa makampuni[[kampuni]] yaza [[usafiri]] kwa [[Ndege (uanahewa)|ndege]]. [[Makao makuu]] yake yako [[Montreal]], [[Quebec]] nchini [[Kanada]] ambako kuna pia makao makuu ya [[Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa Kiraia]] (International Civil Aviation Organization).
IATA ilianzishwa [[mwaka]] [[1945]] kamaili kujenga ushirikiano wa makampuni makubwa ya ndege. Leo hii kuna takriban makampunikampuni wanachama 240. Haya ni hasa makampuni ya kitaifa au makampuni makubwa ya [[Biashara|kibiashara]] yanayotoa huduma za kimataifa. Mashirika madogo yanayohudumia nchi moja tu, pamoja piana mashirika ya ndege za kukodi, mara nyingi si wanachama.
 
Kati ya [[kazi]] za IATA ni jitihada za kusanifisha [[tiketi]] za usafiri wa ndege kwa shabaha ya kuwezesha [[abiria]] kusafiri kwa mashirika mabalimbali kwa kutumia tiketi 1 tu. IATA inasaidia pia mapatano kati ya mashirika wanachama kukubaliana kati yao tiketi za makampuni mengine.
 
Kazi muhimu nyingine ni kutoa [[kodi fupi]] kwa kila shirika na kila [[uwanja wa ndege]]. IATA inalenga pia kusanifisha taratibu za [[usalama]] kati ya makampuni ya usafiri kwa ndege.
 
== Mashirika wanachama ==
Mashirika yafuatayo ni wanachama wa IATA. :<ref>[http://www.iata.org/membership/Pages/airline_members_list.aspx?All=true IATA – All Member Airlines] </ref>
 
{| class="wikitable sortable" width="100%"
*[https://www.iata.org/ Tovuti rasmi]
 
[[Jamii:Makampuni]]
 
[[Category:Usafiri wa anga]]
 
[[Category:Usafiri wa anga]]