Shirika la ndege : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' thumb|Tangazo la "Europe to South America in 3 Days" '''Shirika la ndege''' ni kampuni i...'
 
No edit summary
Mstari 1:
 
 
[[File:Europe to South American in 3 Days Poster (19482266291).jpg|thumb|Tangazo la "Europe to South America in 3 Days"]]
'''Shirika la ndege''' ni [[kampuni]] inayotoa [[huduma]] ya [[usafiri wa anga wa kiraia]] kwa [[abiria]] na [[mizigo]]. Mashirika ya ndege hutumia [[Ndege (uanahewa)|ndege]] kutoa huduma hizi. Kawaida, mashirika haya hupewa [[leseni]] na [[idara]] husika ya [[serikali]].
 
Mashirika ya ndege hutofautiana kwa ukubwa, toka mashirika ya ndege madogo ya safari za ndani na mashirika makubwa ya safari za kimataifa. Shirika la ndege kubwa kuliko yote [[duniani]] ni {{when?|date=April 2019}} [[American Airlines Group]].
'''Shirika la ndege''' ni kampuni inayotoa huduma ya [[usafiri wa anga wa kiraia]] kwa [[abiria]] na [[mizigo]]. Mashirika ya ndege hutumia [[ndege]] kutoa huduma hizi. Kawaida, mashirika haya hupewa leseni na idara husika ya serikali.
 
Mashirika ya ndege hutofautiana kwa ukubwa, toka mashirika ya ndege madogo ya safari za ndani na mashirika makubwa ya safari za kimataifa. Shirika la ndege kubwa kuliko yote duniani ni {{when?|date=April 2019}} [[American Airlines Group]].
 
==Historia==
===Mashirika ya ndege ya kwanza===
[[DELAG]], ''Deutsche Luftschiffahrts-Aktiengesellschaft I'' ndiondilo shirika la ndege la kwanza.<ref>{{cite web|url=https://www.airships.net/delag-passenger-zeppelins |title=DELAG: The World's First Airline, using dirgibles. |publisher=Airships.net |date= |accessdate=2010-08-22}}</ref> Lilianzishwa [[Novemba 16]], [[1909]] kwa msaada wa serikali na kumiliki ndege zilizotengenezwa na [[Zeppelin|Zeppelin Corporation]]. [[Makao makuu|Makao yake makuu]] yalikuwa [[Frankfurt]].

Safari ya kwanza ya ndege ilikuwa [[Januari 1]], [[1914]], toka [[St. Petersburg, Florida]], kwenda [[Tampa, Florida]], kwa ndege iliyomilikiwa na St. Petersburg and Tampa Airboat Line.<ref>{{Cite news|url=https://www.space.com/16657-worlds-first-commercial-airline-the-greatest-moments-in-flight.html|title=World’s First Commercial Airline {{!}} The Greatest Moments in Flight|work=Space.com|access-date=2017-10-14}}</ref>

Mashirika ya ndege ambayo yamekuwepo kwa muda mrefu zaidi ni [[KLM]] (1919),<ref>{{Cite news|url=https://www.klm.com/corporate/en/about-klm/history/index.html|title=History - KLM Corporate|access-date=2017-10-14|language=nl-en}}</ref> [[Avianca]] (1919),<ref>{{Cite web|url=http://www.aviancaholdings.com/en/history|title=History - Avianca Holdings S.A. - www.aviancaholdings.com|website=www.aviancaholdings.com|access-date=2017-10-14}}</ref> [[Qantas]] (1921),<ref>{{Cite web|url=https://www.qantas.com/travel/airlines/history-founders/global/en|title=Founders of Qantas {{!}} Qantas|website=www.qantas.com|language=en-AU|access-date=2017-10-14}}</ref> na [[Czech Airlines]] (1923).<ref>{{Cite web|url=https://www.csa.cz/cz-en/about-us/|title=About Us {{!}} Czech Airlines|website=ČSA.cz|language=en|access-date=2017-10-14}}</ref>
 
===Mashirika ya ndege ya Ulaya===
====Mwanzoni====
[[File:Klm-poster-1919.jpg|thumb|upright|Tangazo la [[KLM]] mwaka 1919, founded on 7 October 1919, the [[List of airlines by foundation date|shirika zee la ndege linalotumia jina lake la asili]]]]
 
[[File:Tanken van een vliegtuig Airplane provided with fuel.jpg|thumb|Ndege aina ya [[Handley Page Type W|Handley Page W.8b]] ilitumia na [[Handley Page Transport]], shirika la ndege Uingereza lililoanzishwa mwaka 1919.]]
The earliest fixed wing airline in Europe was Shirika la ndege lenyezenye [[mabawa]] yasiyozunguka la mwanzo huko [[Ulaya]] ni [[Aircraft Transport and Travel]], lililoanzishwa na [[George Holt Thomas]] mwaka [[1916]]. [[Shirika la Ndege la Uingereza]] linatokana na shirika hili. Shirika hili lilitumia ndege zilizokuwa za kijeshi na kuzibadilisha ili ziweze kubeba [[abiria]].
 
[[Agosti 25]], [[1919]], shirika lilitumia ndege aina ya [[Airco DH.16|DH.16s]] kwa safari za ndege toka [[Hounslow Heath Aerodrome]] kwenda [[Le Bourget]]. Shirika hili lilipata sifa kubwa pamoja na matatizo ya [[hali ya hewa]]. The airline soon gained a reputation for reliability, despite problems with bad weather, and began to attract European competition. Novemba 1919, shirika hili lilipata [[mkataba]] wa kusafirisha [[barua]] nchini [[Uingereza]]. Ndege sita za [[Jeshi la Anga la Uingereza]] aina ya [[Airco DH.9A]] zilitumiwa na shirika hili kusafirisha barua kati ya [[Hawkinge]] na [[Cologne]]. Mwaka [[1920]], ndege hizi zilirudishwa kwa [[jeshi]] hilo.<ref>''The Putnam Aeronautical Review'' edited by John Motum, p170 Volume one 1990 Naval Institute Press</ref>
The earliest fixed wing airline in Europe was Shirika la ndege lenye mabawa yasiyozunguka la mwanzo huko [[Ulaya]] ni [[Aircraft Transport and Travel]], lililoanzishwa na [[George Holt Thomas]] mwaka 1916. [[Shirika la Ndege la Uingereza]] linatokana na shirika hili. Shirika hili lilitumia ndege zilizokuwa za kijeshi na kuzibadilisha ili ziweze kubeba abiria.
 
Agosti 25, 1919, shirika lilitumia ndege aina ya [[Airco DH.16|DH.16s]] kwa safari za ndege toka [[Hounslow Heath Aerodrome]] kwenda [[Le Bourget]]. Shirika hili lilipata sifa kubwa pamoja na matatizo ya [[hali ya hewa]]. The airline soon gained a reputation for reliability, despite problems with bad weather, and began to attract European competition. Novemba 1919, shirika hili lilipata mkataba wa kusafirisha barua nchini Uingereza. Ndege sita za [[Jeshi la Anga la Uingereza]] aina ya [[Airco DH.9A]] zilitumiwa na shirika hili kusafirisha barua kati ya [[Hawkinge]] na [[Cologne]]. Mwaka 1920, ndege hizi zilirudishwa kwa jeshi hilo.<ref>''The Putnam Aeronautical Review'' edited by John Motum, p170 Volume one 1990 Naval Institute Press</ref>
 
Mashirika mengine ya ndege nchinchini Uingereza yalifuata – [[Handley Page Transport]] liliundwa mwaka 1919 likitumia ndege aina ya [[Handley Page Type O|Type O/400]] yenye kubeba abiria 12,<ref>https://www.flightglobal.com/FlightPDFArchive/1961/1961%20-%200055.PDF</ref> kwa safari za [[London]]-[[Paris]].<ref>{{Cite web|url=http://www.airlinehistory.co.uk/Airline%20History/History1903.asp|title=Airline History 1903 to 1919|website=www.airlinehistory.co.uk|access-date=2017-10-14}}</ref>
 
Shirika la kwanza la ndege la [[Ufaransa]] lilikuwa ni [[Aéropostale (aviation)|Société des lignes Latécoère]], baadaye lilitwaliliitwa Aéropostale, ambalo lilianza kazi mwaka [[1918]] kwa safari za kwenda [[Hispania]]. [[Société Générale des Transports Aériens]] liliundwa mwishoni mwa 1919, na wana ndugu wa [[Farman]] na ndege ya [[Farman F.60 Goliath]] ilisafirisha watu kati ya [[Toussus-le-Noble]] na [[Kenley]], karibu na [[Croydon]], Uingereza. Kampuni nyingine nchini Ufaransa ilikuwa ni [[Compagnie des Messageries Aériennes]], iliyoundwa mwaka 1919 na [[Louis-Charles Breguet]], ikisafirisha barua na mizigo kati ya [[Paris – Le Bourget Airport|Uwanja wa Ndege wa Le Bourget]], [[Paris]] na [[Uwanja wa Ndege wa Lesquin]], [[Lille]].<ref>{{cite web|url=http://www.rafmuseum.org.uk/milestones-of-flight/world/1919.cfm |title=World Aviation in 1919 - Part 1 |publisher=Royal Air Force Museum |accessdate=28 February 2011 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20110105130943/http://www.rafmuseum.org.uk/milestones-of-flight/world/1919.cfm |archivedate=5 January 2011 |df= }}</ref>
 
[[File:Bundesarchiv Bild 102-00007, Berlin, Start eines Junkers-Flugzeuges.jpg|thumb| [[Junkers F.13]] ''D-190'' of [[Junkers Luftverkehr]]]]
Shirika la ndege la Ujerumani la [[Deutsche Luft-Reederei]] liliundwa mwaka [[1917]] na kuanza kazi Februari 1919. Shirika lingine la Ujerumani lilikuwa ni [[Junkers Luftverkehr]], lililoanza kazi mwaka [[1921]]. Liliendesha ubia wa mashirika ya ndege nchini [[Austria]], [[Denmaki]], [[Estonia]], [[Ufini]], Hungari[[Hungaria]], [[Latvia]], [[Norway]], [[Poland]], [[Uswidi]] na [[Uswisi]][[]].
 
Shirika la ndege la [[Uholanzi]] [[KLM]] lilifanya safari ya kwanza ya ndege mwaka [[1920]], na ndio shirika zee kabisa duniani. Shirika hili liliundwa na [[Albert Plesman]],<ref>{{cite journal|journal=International Directory of Company Histories|year=1999|volume=28|title=Koninklijke Luchtvaart Maatschappij, N.V. History| url=http://www.fundinguniverse.com/company-histories/koninklijke-luchtvaart-maatschappij-n-v-history/|accessdate=30 July 2013}}</ref> Safari yake ya kwanza ilikuwa ni kutoka [[Uwanja wa Ndege wa Croydon]], [[London]] kwenda [[Amsterdam]].
 
Huko Ufini, shirika la Aero O/Y (hivi sasa [[Finnair]]) liliundwa huko [[Helsinki]] Septemba 12, 1923. Safari yake ya kwanza ilikuwa ni kati ya Helsinki na [[Tallinn]], mji mkuu wa[[Estonia]], Machi 20, 1924.
 
[[Muungano wa Kisovyeti]] uliunda Chief Administration of the Civil Air Fleet mwaka 1921. Huduma za safari za ndani za ndege zilianza Julai 15, 1923 kati ya [[Moscow]] na [[Nizhni Novgorod]]. Toka mwaka 1932 shirika hili limekuwa likitumia jina la [[Aeroflot]].<ref>{{Cite web|url=https://www.aeroflot.ru/us-en/about/history|title=Aeroflot History {{!}} Aeroflot|website=www.aeroflot.ru|language=en|access-date=2017-10-14}}</ref>.
.
 
==Marejeo==
{{Reflist}}
 
==BibliographiaKusoma zaidi==
# "A history of the world's airlines", [[R. E. G. Davies|R.E.G. Davies]], Oxford U.P, 1964
# "The airline encyclopedia, 1909–2000.” Myron J. Smith, Scarecrow Press, 2002
Line 51 ⟶ 49:
*[https://complain.biz/help/how-to-complain-about-airlines/ Jinsi ya kutoa malalamiko kuhusu huduma za mashirika ya ndege]
 
{{mbegu-uchumi}}
[[Jamii:Makampuni]]