Eneo la utawala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Eneo la utawala''' ni sehemu ya [[nchi]] iliyotengwa kwa madhumuni ya [[utawala]]. Kwa kawaida kuna ngazi tofauti za [[ugatuzi]] kama vile [[mkoa]], [[wilaya]], [[tarafa]], [[kata]]/[[shehia]] na [[kijiji]] na kila moja ina [[madaraka]] yake.
[[wilaya]], [[tarafa]], [[kata]]/[[shehia]] na [[kijiji]] na kila moja ina madaraka yake.
 
==Madaraka ya utawala==
Madaraka ya kila ngazi ya utawala hutegemea [[katiba]] na [[siasa]] ya nchi.
 
* katika [[shirikisho|mfumo wa shirikisho]] ''(federal system)'' madaraka yote hugawiwa kati ya ngazi ya kitaifa na ngazi ya vitengo vikuu vinavyounda shirikisho la nchi, kama [[Jimbo|majimbo]], [[madola]] au mikoa. Mifano ni [[Afrika Kusini]], [[Nigeria]], [[Marekani]] au [[Ujerumani]]
 
* katika [[mfumo wa serikali moja]] ''(unitary system)'' madaraka yote yakoyamo mkononi[[Mikono|mikononi]] mwa [[bunge]] la kitaifa na [[serikali kuu]]. Hapa ngazi za chini huwa na madaraka yanayokabidhiwa kutoka juu zikiwa kama [[ofisi]] ndogo chini ya serikali kuu.
 
* katika kila mfumo kuna uwezekano kwamba maeneo ya ngazi ya chini kama [[manisipaa]], [[miji]], kata au vijiji huwa na madaraka ya pekee yanayotajwa katika katiba ya nchi.
 
==Ngazi za utawala==
Majina ya vitengo vya kiutawala hutofautiana kati ya nchi na nchi. Kwa kusudi zala kulinganisha hutajwa mara nyingi kufuatana na ngazi chini ya serikali kuu
 
* ngazi ya kwanza: eneo lililo moja kwa moja chini ya ngazi ya kitaifa; mfano [[mikoa ya Tanzania]], [[kaunti za Kenya]], [[majimbo ya Marekani]]
* ngazi ya pili: ni vitengo chini ya eneo ngazi ya kwanza; mfano ni [[wilaya]] za Tanzania, sub county za Kenya. Katika nchi nyingi miji mikubwa hupangwa hapa
* ngazi ya tatu: ni migawanyo ya maeneo ya ngazi ya pili.; mfano ni [[tarafa]] za Tanzania
* ngazi ya nne na ya tano ni migawanyo tena ya maeneo katika ngazi za juu. Mara nyingi vijiji, miji midogo au maungano ya vijiji hupangwa hapa.
{{mbegu-sheria}}
 
[[Jamii:Ugawaji wa nchi]]