Jicho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Reverted edits by 154.73.106.237 (talk) to last version by Riccardo Riccioni: unexplained content removal
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Menschliches auge.jpg|thumb|Jicho la binadamu.]]
[[Picha:Dragonfly eye 3811.jpg|150px|thumb|Macho ya kuungwa ya nzi.]]
'''Jicho''' ni sehemu ya [[mwili]] inayowezesha kuona. Ni [[ogani]] inayotambua [[mwanga]] na kutuma [[habari]] zake kwa [[ubongo]].
 
== Aina za macho ya viumbehai ==
Kuna mifumo mbalimbali ya macho kati ya aina mbalimbali za [[wanyama]].
 
Macho ya kimsingi kwa [[viumbehai]] vidogo yanatambua tu kama [[mazingira |mazingira]] yana mwanga au la. Hata kati ya viumbehai wenye [[seli]] moja kuna wenye [[protini]] zinazotofautisha [[giza]] na [[nuru]]. Kuna [[konokono]] ambao hawawezi "kuona" [[picha]] ya mazingira lakini wanatambua mwanga na uwezo huu unawawezesha kuepukana na mwanga wa [[jua]] ambao ungewakausha.
 
Macho yaliyoendelea kiasi yana [[umbo]] kama [[kikombe]] na hiihili inawezeshalinawezesha kutambua upande gani nuru inatokea.
 
[[Wanyama]] wengi huwa na macho yaliyoendelea zaidi: yana uwezo wa kuona picha halisi ya mazingira pamoja na [[rangi]] na [[mwendo]].
Mstari 14:
 
== Macho ya kuungwa ==
[[Wadudu]] na [[arthropoda]] huwa na [[macho ya kuungwa]] na vijicho vingi vidogo vinavyoitwa [[omatidi]]; kila kijicho huwa na umbo la [[kijiti]] na kwenye mwisho wake kuna lenzi ya [[chitini]]. Mdudu anaweza kuwa na vijicho [[elfu]] kadhaa na picha ya mazingira inaunganishwa kutokana na picha nyingi ndogo za kila kijicho.
 
Macho haya ya kuungwa yanamwezesha mdudu kuangalia [[asilimia]] kubwa ya mazingira yake: kwa aina kadhaa hata nyuma yake. Macho ya kuungwa yanaweza kufunika hadi asilimia 80 ya eneo la [[kichwa]]. Mdudu haoni vikali kama mtu lakini anaona mabadiliko na mwendo haraka sana.
 
Wanyama wanaoishi katika [[Kilindi|vilindi]] vya [[bahari]] penye giza nene huwa na macho ambamo [[fuwele]] ziko kama [[kioo]] na kupazia nuru hafifu.
 
Kuna wanyama wanaoweza kuona nuru ambayo ni nje ya [[upeo]] wa kibinadamu; kwa mfano [[nyuki]] huona [[mnururisho]] wa [[infraredi]].
 
== Macho ya mamalia ==
Macho ya [[binadamu]] kama ya [[mamalia]] wengine huwa na lenzi moja tu. Lakini [[muundo]] wa jicho unaruhusu kuona rangi, [[umbali]] na mengi madogo.
 
== Shida za macho ==
Mstari 36:
[[Jamii:Kichwa]]
[[Jamii:Milango ya fahamu]]
[[Jamii:Jicho]]