Mtakatifu Paulo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
Alitangaza [[Kifo cha Yesu|kifo]] na [[Ufufuko wa Yesu|ufufuko wake]] katika nchi karibu zote zilizopo [[kaskazini]] kwa [[Bahari ya Kati]].
 
Alimaliza [[ushuhuda]] wake kwa [[Yesu]] kwa kufia [[dini]] [[Ukristo|yake]] [[Mji|mjini]] [[Roma]] chiniwakati yawa [[dhuluma]] iliyoanzishwa na [[Kaisari Nero]].
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila tarehe [[29 Juni]] pamoja na ya [[Mtume Petro]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[29 Juni]] pamoja na ya [[Mtume Petro]].
 
== Maisha kabla ya wongofu ==
Mtakatifu Paulo alizaliwa kati ya miaka 7-[[10]] [[BK]] katika [[familia]] ya [[Wayahudi|Kiyahudi]] ya [[kabila]] la [[Benyamini (Israeli)]] na [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]] iliyoishi katika [[mji]] wa [[Tarsus]] (kwa sasa mji huo uko sehemu ya [[kusini]] [[mashariki]] ya nchi ya [[Uturuki]]).
 
[[Jina]] lake la kwanza (la [[Kiebrania]]) lilikuwa '''Sauli''', lakini kadiri ya [[desturi]] ya wakati ule alikuwa pia na jina la [[Kigiriki]]: '''Paulos''' kutoka [[Kilatini]] '''Paulus''' (= mdogo). Mwenyewe alikuwa na [[uraia]] wa [[Roma]] kama wananchi wote wa Tarsus.
Line 16 ⟶ 18:
Angali [[kijana]] alisomea [[ualimu wa Sheria]] (yaani wa [[Torati]]) huko [[Yerusalemu]] chini ya [[mwalimu]] maarufu [[Gamalieli]] wa [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]].
 
Akishika [[dini]] yake kwa [[Itikadi kali|msimamo mkali]] akawa anapinga [[Ukristo]] kwa kuwakamatakukamata, kuwatesakutesa na hata kuwauakuua Wakristo, kama vile [[Stefano Mfiadini]].
 
Alifanya hivyo mpaka alipotokewa na [[Yesu Kristo]] mfufuka akiwa [[njia|njiani]] kwenda [[Damaski]], [[Syria]] (kwa umuhimu wake katika [[Historia ya Wokovu]] habari hii inasimuliwa mara [[tatu]] katika [[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]]: 9:1-19; 21:12-18 na 22:5-16). [[Jibu]] lake kwa Yesu lilikuwa (Mdo 22:10): "Nifanye nini, Bwana?"
 
==Habari za wongofu wake katika Mdo 9==
Line 112 ⟶ 114:
 
== Baada ya wongofu ==
Baada ya kufanya [[utume]] katika [[mazingira]] ya [[Kiarabu]], Tarsus na [[Antiokia]] alianza [[safari]] za kitume, akienda mbali zaidi na zaidi, akilenga kumhubiri [[Yesu]] mahali ambapo bado hajafahamika, hata [[Hispania]].
 
Ilikuwa kawaida yake kuanzisha ma[[kanisa]] katika miji mikubwa ili toka huko [[ujumbe]] ufike hadi [[kijiji|vijijini]].
 
Muda wote wa [[utume]] wake Paulo alipambana na [[dhuluma]] kutoka kwa Wayahudi wenzake na ma[[tatizo]] mengine kutoka Wakristo wenye msimamo tofauti na wa kwake, hasa [[Wakristo wa Kiyahudi]] juu ya [[haja]] ya kufuata ma[[sharti]] ya [[Agano la Kale]] ili kupata [[wokovu]].
 
Hatimaye alikamatwa na wapinzani wake Wayahudi mjini Yerusalemu, lakini [[askari]] [[wakoloni]] walizuia asiuawe.
Line 125 ⟶ 127:
 
== Kifodini chake ==
Aliuawa nje ya [[Ukuta|kuta]] za Roma kwa kukatwa [[kichwa]] wakati wa [[dhuluma]] za [[Nero]] kati ya mwaka [[64]] na [[67]] B.K.
 
Juu ya [[kaburi]] lake lilijengwa [[Basilika la Mt. Paulo|kanisa kubwa]] ambalo liliteketea kwa [[moto]] katika [[karne ya 18]] likajengwa upya na hadi leo linapokea [[hija]] za Wakristo wengi, hasa katika "[[Jubilei]] ya mtume Paulo" iliyotangazwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kwa mwaka [[2008]]/[[2009]].
 
== Maandishi yake ==
{{Agano Jipya}}
Kati ya [[barua]] nyingi alizoandikwaalizoandika (kwa makanisa ya [[Thesalonike]], [[Korintho]], [[Galatia]], Roma, [[Filipi]], [[Kolosai]], [[Efeso]], kwa [[viongozi]] Wakristo kama [[Timotheo]] na [[Tito]], tena kwa [[Filemoni]]), katika [[Agano Jipya]] zinatunzwa 13.
 
Ukubwa na [[ubora]] wa mchango wa Paulo unaeleweka tukizingatia kwamba alifanya kazi na kuandika kabla ya vitabu vya Agano Jipya kupatikana. Ndiye aliyeanza kuliandika akipanua mawazo aliyoyapokea katika Kanisa kwa kuzingatia [[Agano la Kale]] na [[Ufunuo|mafunuo]] na [[mang’amuzi]] yake mwenyewe.
 
Hapo alifafanua vizuri ajabu [[maisha]] ya Kikristo kama [[neema]] ya kumshiriki [[Yesu]] kwa [[imani]], [[sakramenti]] na [[juhudi]] za kushinda [[umimi]] hadi kugeuka [[sadaka]] hai, takatifu na ya kumpendeza [[Mungu]].
 
[[Wokovu]] huo, utakaokamilika katika [[ufufuko]] wa [[mwili]], unapatikana katika Kanisa, ambalo Paulo alilitambulisha kama [[bibiarusi]] wa [[Kristo]] na mwili wake.
Line 142 ⟶ 144:
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]