Eneo la utawala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 16:
* ngazi ya pili: ni vitengo chini ya eneo ngazi ya kwanza; mfano ni [[wilaya]] za Tanzania, sub county za Kenya. Katika nchi nyingi miji mikubwa hupangwa hapa
* ngazi ya tatu: ni migawanyo ya maeneo ya ngazi ya pili; mfano ni [[tarafa]] za Tanzania
* ngazi ya nne na ya tano ni migawanyo tena ya maeneo katika ngazi za juu. Mara nyingi vijiji, miji midogo au maungano ya vijiji hupangwa hapa. Mfano ni [[kata]] na [[vijiji]] au mitaa katika Tanzania.
{{mbegu-sheria}}
[[Jamii:Ugawaji wa nchi]]