Cannabidiol : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
spam |
kurekebisha marejeleo |
||
Mstari 8:
Cannabidiol yaweza kutumiwa [[Mwili|mwilini]] kwa kuvuta [[moshi]] wa cannabis au kama kupulizwa kwa [[mdomo]] kwa presha. Yaweza pia kuchukuliwa moja kwa moja kutokana na mafuta ya CBD ambayo haina [[THC]]. THC ndiyo kiungo ambacho kinalewesha katika bangi. CBD haileweshi kama THC ingawa kuna wanaouza CBD ikiwa na THC bila kuwaambia wanaonunua.
Madhara ya Cannabidiol ni kama vile: [[uchovu]] na kulala sana, [[kukosa hamu ya chakula]], [[kuhara]] pamoja na kujisikia mwili umenyongonyea.<ref>{{Cite journal|last=Ford|first=Talitha C.|last2=Hayley|first2=Amie C.|last3=Downey|first3=Luke A.|last4=Parrott|first4=Andrew C.|date=2018-06-11|title=Cannabis: An Overview of its Adverse Acute and Chronic Effects and its Implications|url=http://www.eurekaselect.com/154161/article|journal=Current Drug Abuse Reviews|language=en|volume=10|issue=1|pages=6–18|doi=10.2174/1874473710666170712113042|access-date=2019-07-02|via=}}</ref>
== Historia ya Cannabidiol ==
Mstari 23:
=== Ugonjwa wa Parkinson ===
Cannabidiol hutumika katika kupunguza wasiwasi (anxiety)<ref>{{Cite web|url=https://cannafinest.com/cbd-oil-for-anxiety/|title=Does CBD oil Help People With Anxiety and Panic Attack?|author=cannafinest|date=2019-06-15|language=en-US|work=CannaFinest|accessdate=2019-07-02}}</ref> kwa watu walio na [[ugonjwa wa Parkinson]]
== Maamkizi ya CBD na serikali za nchi ==
Mstari 34:
=== Njia ya kudondoa cannabidiol kutoka mmea ===
Muundo wa kudondoa cannabidiol kutokana na mmea una maana sana. Kampuni nyingi zatumia njia hafifu kwa kutumia kemia zenye madhara kama vile propane, pentane na butane ambazo zinaweza kuwaka (flammable). Shirika la Constance Theraupetics <ref>
=== Viungo vya mafuta ya CBD ===
Huenda mafuta ya CBD unayotumia ikawekwa viungo vingine visivyo sawa na mwili wako. Yafaa basi uangalie viungo hivyo kwa makini usije ukadhurika. Loyal THC inasema kuwa yafaa pia cannabidiol ipitishwe katika maabara ili unapotumia, uwe unajua fika ni nini kilichomo katika mafuta ya CBD oil unayotumia.
==
{{marejeo}}
== Marejeo ==
== Viungo vya nje ==
|