Kahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
ugh more spam
Mstari 14:
 
==Kahawa kwa kupunguza uzani mwilini==
Wanaouza [[dawa za kupunguza uzani]] husema kwamba kafeini iliyomo katika kahawa huchangia katika kuyeyusha [[mafuta]]. Hili hufanyika wakati [[mwili]] unapotoa [[joto]]. Katika ile hali ya kutoa joto (thermogenesis) mafuta huyeyushwa na kufanywa kawi. <ref>Makala ya [https://www.webmd.com/diet/news/20000322/drinking-green-tea-may-help-you-lose-weight Webmd] yaonyesha kwamba kafeini huinua joto mwilini kutoka asilima ishirini na nane hadi sabini na saba.</ref> Hata hivyo, hili laweza kuchangia upotevu wa usingizi wakati wa usiku pamoja na kuwa na [[fadhaiko]] (anxiety) <ref>[https://justforweightloss.com/gnc-thermogenic-fat-burners/ gnc thermogenics]</ref>.
 
== Njia za kutengeneza kahawa ==
Mstari 32:
* '''Kahawa mumunyifu''': inatengenezwa kwa kutumia unga wa pekee ulioandaliwa [[Kiwanda|kiwandani]]. Hapa kahawa inatengenezwa kiwandani halafu maji huondolewa kwenye kahawa na unga unabaki unaokorogwa tu katika maji ya moto na kahawa ni tayari. Watu wengi wameizoea kwa sababu inatengenezwa haraka lakini wapenzi wa kahawa mara nyingi wanalalamika ya kwamba sehemu ya ladha inapotea.
 
* '''Kahawa latte (coffee latte)''': jina hutokana na neno la [[Kiitalia]] "latte" ([[maziwa]]); hutengenezwa kwa kuchukua aina ya kahawa <ref>kama [http://myvirtualcoffeehouse.com/tassimo-pods Tassimo pods]</ref>, kuitengeneza espresso na kuweka maziwa ndani. Kwa hiyo, tofauti na espresso ni kuwa huwa na maziwa.
 
==Picha==
Mstari 47:
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.coffeehabitat.com Coffee & Conservation] and [http://www.missiongrounds.com Gourmet Coffee Facts] - Resources on organic coffee
* [http://www.coffeeishealth.org Coffee is Health], the most recent book about coffee, including its history and health benefits.
* [http://myvirtualcoffeehouse.com/tassimo-pods Tassimo pods]
* [http://studentorganisations.uonbi.ac.ke/ccpe/has-anyone-tried-phenq/]
* [https://www.guidesinsider.com/best-espresso-machine-under-300 The Best Expresso Machines and What to Consider when Buying an Expresso Machine]
* [https://kitchenlola.com/best-drip-coffee-maker Drip Coffee Maker - Buying Guide and Reviews]
* [https://www.healthline.com/nutrition/top-13-evidence-based-health-benefits-of-coffee Faida 13 za kiafya zinatotokana na kahawa]