Tofauti kati ya marekesbisho "Karen Blixen"

1,211 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[File:Karen Blixen 1913.jpg|thumb|Karen Blixen (1913)]]
 
'''Karen Christence Blixen-Finecke''' (jina la kisaniikiuandishi alilotumia kwenye nchi zinazozungumza Kiingereza: '''Isak Dinesen''') ([[Rungsted]]/ [[Denmark]] [[17 Aprili]] [[1885]] - [[7 Septemba]] [[1962]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Denmark]]. Alitumia pia majina ya '''Tania Blixen''', kwenye nchi zinazozungumza [[Kijerumani]], '''Osceola''' na '''Pierre Andrézel'''.
 
Aliishi [[Kenya]] -wakati ule: [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]]- kati ya [[1913]] hadi [[1931]] akiongoza shamba la kahawa karibu na mji wa [[Nairobi]]. Eneo la shamba lake la zamani hadi leo laitwa "[[Karen (Kenya)|Karen]]" ni kitongoji cha Nairobi.
 
Aliandika kumbukumbu ya maisha yake Kenya na kitabu hiki kikawa msingi wa filamu "Out of Africa". Huko Denmark alijulikana sana kwa kazi yake iitwayo ''[[Seven Gothic Tales]]''.
 
===Early years===
[[File:Karen Blixen and Thomas Dinesen 1920s.jpg|thumb|right|Karen Blixen na kaka yake [[Thomas Dinesen|Thomas]] kwenye shamba la familia huko Kenya kwenye miaka ya 1920]]
 
Karen Dinesen alizaliwa [[Rungstedlund]], kaskazini mwa [[Copenhagen]]. Baba yake, Wilhelm Dinesen (1845–1895), alikuwa ni mwandishi na ofisa wa kijeshi toka familia ya wamiliki wa mashamba ya Jutland yenye uhusiano wa karibu na ufalme, kanisa na siasa za [[mrengo wa kulia]]. Mama yake, Ingeborg Westenholz (1856–1939), alitoka kwenye familia tajiri inayofanya biashara. Karen Dinesen alikuwa ni mtoto wa pili kati ya watoto watatu wa kike na wawili wa kiume. Mdodo wake wa kiume, [[Thomas Dinesen]], alipata tuzo ya Victoria Cross wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]].<ref>C. Brad Faught, 'The Great Dane and her hero brother', National Post, Toronto, 4 May 2002.</ref> Dinesen was known to her friends as "Tanne".
 
 
== Vitabu ==
* ''Vintersagor'', [[1942]].
* ''Skuggor över gräset'', [[1960]].
 
===Marejeo===
{{Reflist|20em}}
 
 
== Viungo vya nje ==