Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ford.mondeo.mk3-black.front-by.ranger.jpg|thumb|'''Ford Mondeo''' ni motokaa ndogo ya kubeba abiria wachache, kwa mfano [[familia]] ndogo.]]
[[Picha:WA SES Toyota Landcruiser.jpg|thumb|Magari kama Toyota Landcruiser hujengwa juu ya fremu ya lori dogo kwa kusudi la kubeba watu kwenye njia mbaya.]]
[[https://cars.usnews.com/cars-trucks/chevrolet/impala/2019/photos-exterior]]
'''Motokaa''' (kutoka [[Kiingereza]] "motor car"<ref>maneno yale yana asili katika [[lugha]] ya [[Kilatini]]; "car" kutoka Kilat. ''carrus'' = gari na "motor" kutoka Kilat. ''movere'' = sogeza, hamisha yaani "mhamishaji, msukumaji"</ref>, mara nyingi huitwa tu '''gari''') ni chombo cha [[usafiri]] ambacho kwa kawaida kinakwenda kwenye nchi kavu kikitumia nguvu ya [[injini]] au [[mota]] yake. Hata hivyo ziko zinazoweza kusafiri pia majini, na kwa sasa [[kampuni]] kadhaa [[duniani]] zinafanya utafiti wa kutengeneza motokaa ambazo zitakuwa zikiruka [[Anga|angani]].