Wikipedia:Jumuiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 693:
 
:Wapendwa naona wakiulizwa kuleta mifano wanasita, tuone kama ukimya unaendelea. Namwelewa Riccardo anataka Mwangi2017 arudishwe. Kwa hiyo je tupinge azimio pale Meta? Kuhusu Jimmwandishi kimsingi jambo si tofauti sana ingawa alikuwa mgumu kiasi. Tumwache alivyo? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:01, 5 Julai 2019 (UTC)
::Nimeangalia kazi nyingi za Mwangi2017, jamaa huyu sioni kabisa kwanini azuiwe. Tena nilipoona kua Mkenya anafanya hariri na kuandika makala vizuri kama yeye ninifurahi sana kuona Wikipedia yetu kuwa na mhariri toka Kenya na ana Kiswahili kizuri. Je utaratibu wa kurudishwa ni upi? Hata mimi naunga mkono arudishwe.
 
::Kesi ya "Mwangi2017" nimeikuta Meta: [https://meta.wikimedia.org/wiki/Steward_requests/Global/2019-07 hapa]—shida moja tu, mjadala wake umefungwa. Labda uuanzishe upya? Huyu mama kamshikilia kweli huyo jamaa.--[[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>''''Muddyb Mwanaharakati''''</sub></font>]]</span> <font face="Comic Sans MS">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>''''Longa''''</sup></font>]] 12:09, 5 Julai 2019 (UTC)