Wikipedia ya Kipoland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 49 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1551807 (translate me)
correct name
Mstari 14:
|}}
 
'''Wikipedia ya Kipoland''' ([[Kipoland]]: ''polska Wikipedia polskojęzyczna'') ni toleo la [[kamusi elezo]] ya [[Wikipedia]] kwa lugha ya [[Kipoland]]. Wikipedia kwa Kipoland, ni toleo la tisa la Wikipedia. Ilianzishwa mnamo tar. [[26 Septemba]] katika mwaka wa [[2001]]. Na kwa mwezi wa Mei [[2008]], imefikisha makala zaidi ya 500,000, na kuifanya iwe toleo la nne kwa ukubwa baada ya Wikipedia kwa [[Wikipedia ya Kiingereza|Kiingereza]], [[Wikipedia ya Kijerumani|Kijerumani]], na [[Wikipedia ya Kifaransa|Kifaransa]]. Hii ni toleo kubwa la Wikipedia katika orodha ya lugha za [[Lugha za Kislavoni|Kislavoni]] kwa idadi ya makala.
== Viungo vya Nje ==
{{InterWiki|code=pl}}