Danna Garcia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
'''Danna Garcia''' (amezaliwa [[Bogotá]], [[Kolombia]], [[4 Februari]] [[1978]]) ni [[mwigizaji]] wa [[tamthilia]], [[filamu]] na pia [[mwimbaji]].
 
Ni [[binti]] wa mwimbaji [[muziki]] wa [[Kolombia|Kikolombia]] [[Claudia Osuna]]. Danna ameanzaalianza shughuli za muziki na uigizaji toka akiwa na [[umri]] wa miaka minne.
 
Mnamo mwaka [[1994]], akiwa na [[dada]] yake Claudia, waliunda [[bendi]] ya muziki, iitwayo "Café Moreno". Katika kipindi cha mwaka mmoja, waliweza kurekodi platini tatu mfululizo, na wakafanikiwa kutoa albamu iliyokwenda kwa jina la ''Momposino''.
 
Mwaka huo huo Danna akaoneka kwenye ya tamthilia moja ya nchini [[Colombia]] iliyokuwa inaitwa "Café con aroma de mujer".