Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|'''JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA''']]
'''Tume ya Kuratibu Uthibiti wa Dawa za Kulevya Tanzania''' ([[w:en|Kiingereza]]: '''Drugs Control Commission of Tanzania''' au kwa kifupi [[w:Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya|'''DCC''']] ni chombo cha umma ambacho kinashirikiana na serikali ya [[W:Tanzania|Tanzania]]. kilianzishwaKilianzishwa kwa sheria ya bunge [[w:National Assembly (Tanzania)|Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania]] ya mwaka wa 2013 ili kupambana na utumiaji wa dawa za kulevya pamoja na usafirishaji. Tume hii ipo chini ya Ofisi ya [[Waziri mkuuMkuu]]. Ofisi zake kuu zipo Jijini [[w:Dar es Salaam|Dar es Salaam]].
 
==MUUNDO WA TUME==
==Muundo wa tume==
:Kifungu cha 4(5) cha sheria hiyo kimewataja wajumbe wa Tume chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu kama ifuatavyo:-
*Waziri anayeshughulikia Mambo ya Sheria
Line 14 ⟶ 15:
*Waziri anayeshughulikia Mipango (Zanzibar)
Mawaziri wengine wanaweza kukaribishwa kutegemeana na ajenda za kikao. Vile vile Tume inaweza kumkaribisha mtu yeyote mwingine aliyemstari wa mbele katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya.
 
==VIKAO VYA TUME==
==Vikao vya tume==
Kwa mujibu wa sheria, Tume inatakiwa kukutana si chini ya mara mbili kwa mwaka. Katibu wa vikao hivyo ni Kamishna wa Tume ambaye pia ni mtendaji mkuu wa shughuli za kila siku za Tume.
 
==KAZI ZA TUME==
==Kazi za tume==
Kifungu cha 5 cha sheria hiyo kinataja majukumu ya Tume kuwa ni kuainisha, kuhamasisha na kuratibu utekelezaji wa sera ya Serikali ya udhibiti wa matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya kwa kufanya mambo yafuatayo:-
*Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa taifa wa udhibiti wa dawa za kulevya.
Line 29 ⟶ 32:
*Kuratibu na kusaidia shughuli zinazofanywa na asasi na vikundi mbali mbali vya kijamii vinavyoshiriki katika kupiga vita dawa za kulevya.
:Aidha, Tume inatakiwa kutoa taarifa ya hali ya dawa za kulevya nchini na kuiwasilisha bungeni kila mwaka. Taarifa zimekuwa zikitolewa na kuwasilishwa bungeni tangu mwaka 2003.
 
==Ofisi ya Kamishina==
:Uendeshaji wa shughuli za kila siku za Tume hufanywa na Kamishna akisaidiwa na timu ya wataalam wa fani mbali mbali. Ofisi ya Tume imeundwa na Sehemu (section) tatu na vitengo (units) vinne kama ifuatavyo:-
Line 77 ⟶ 81:
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.pmo.go.tz/ DrugsTovuti Controlrasmi Commissionya ofTume Tanzaniaya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya]
 
{{Mbegu-Tanzania}}