Ukomunisti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
Ukomunisti unasema watu wa kila sehemu ya [[dunia]] wanapaswa kumiliki [[zana]], [[viwanda]], na ma[[shamba]] ambayo yanatumiwa kuzalishia [[bidhaa]] na vyakula. [[Mchakato]] huu wa kijamii hujulikana kama umiliki wa kawaida. Katika jumuia ya wakomunisti, hakuna [[mali]] binafsi.
 
Mwanzo wa mafundisho haya uko kwenye maandiko ya [[Karl Marx]] na [[Friedrich Engels]] tangu kutolewa kwa "Ilani ya Kikomunisti" mwaka 1847<ref>[https://www.marxists.org/kiswahili/marx-engels/maelezo/maelezo.htm Maelezo ya Chama cha Kikomunist], </ref>.
 
== Falsafa ==
Line 27 ⟶ 29:
==Viungo vya Nje==
*[http://www.joseph-stalin.net/5_classics_of_marxism/marx_engels/marx_engels_books/marx_engels_communist%20manifesto_all/Marx-Engels_Communist%20manifesto_1965_Swahili.pdf Ilani ya Kikomunisti] (katika tafsiri hii ya 1965: Maelezo ya chama cha Kikomunist, Moscow, Idara ya Maendeleo - Progress Publishers)
** fomati ya html:[https://www.marxists.org/kiswahili/marx-engels/maelezo/maelezo.htm Maelezo ya chama cha Kikomunist, 1965 Moscow, Idara ya Maendeleo - (Progress Publishers)]
[[Jamii:Ukomunisti]]
[[Jamii:Siasa]]