Sungusungu (sisimizi) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya Kipala (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChriKo Tag: Rollback |
||
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = pink
| jina = Sungusungu
| picha = Megaponera Major with termites, crop.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Sungusungu aliyekamata mchwa
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Arthropodi]] (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
| nusufaila = [[Hexapoda]] (Wanyama wenye miguu sita)
| ngeli = [[Insecta]] (Wadudu)
| nusungeli = [[Pterygota]] (Wadudu wenye mabawa)
| oda = [[Hymenoptera]] (Wadudu wenye mabavu angavu)
| nusuoda = [[Apocrita]] (Hymenoptera wenye kiuno chembamba sana)
| familia_ya_juu = [[Vespoidea]] (Hymenoptera kama [[dondora]])
| familia = [[Formicidae]] ([[Sisimizi]])
| nusufamilia = [[Ponerinae]]
| jenasi = ''[[Megaponera]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Gustav Mayr|Mayr]], 1862
| spishi = ''[[Megaponera analis|M. analis]]''
| bingwa_wa_spishi = ([[Pierre André Latreille|Latreille]], 1802
}}
'''Sungusungu''' ni [[spishi]] ya [[sisimizi]] (''[[Megaponera analis]]'') wa [[nusufamilia]] [[Ponerinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Formicidae]].
Katika [[maisha]] yao, sungusungu huishi kwa [[ushirikiano]] na kusaidiana kama mchwa na wadudu wengineo.
Pia sungusungu hugawana [[Jukumu|majukumu]] katika shughuli mbalimbali kama vile ''[[ulinzi]]'' (kwa wadudu hawa ukizungumzia suala la ulinzi ni wa kumlinda [[malkia]] wao na [[ujenzi]] wa makazi yao).
Kutokana nao, mara nyingine [[walinzi]] wa [[jadi]] katika [[jamii]] za [[binadamu]] wanaitwa "sungusungu".
{{mbegu-mdudu}}
[[Jamii:Sisimizi na jamaa]]
|