Sungusungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removed redirect to Sungusungu (sisimizi)
Tag: Removed redirect
No edit summary
Mstari 6:
Jina hili lilianza kupata umaarufu tangu miaka ya 1980 kati ya Wasukuma<ref>Leticia K. Nkonya, Rural Water Management in Africa: The Impact of Customary Institutions in Tanzania,Cambria Press 2008, ISBN-10: 1604975377, ISBN-13: 978-1604975376, uk. 128, [https://books.google.co.tz/books?id=QaoHg7HiikwC&pg=PA130&dq=sungusungu&hl=en&sa=X&ved=0ahUKEwjRtsqru6PjAhUDJVAKHQgsDa4QuwUIKjAA#v=onepage&q=sungusungu&f=false online hapa]</ref> walioona matatizo ya wizi wa mifugo na ujambazi kwenye barabara baada ya vita ya Uganda na kurudi kwa wanajeshi wengi Tanzania.
 
Kufuatana nakumbukumbu ya wenyeji, walianzia [[Wilaya ya Kahama Vijijini|wilayani Kahama]], Kata[[Jana|kata ya JannaJana]] na baadaye kuzinduliwa rasmi Kata ya [[Mwalugulu|Mwaluguru]], mwaka 1982<ref>[https://mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Shindikilagi-ya-Sungusungu-ilivyotumika--kwa-mauaji-/1597580-2127320-format-xhtml-oylu2w/index.html Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’], taarifa ya Shija Felician, kwenye gazeti la Mwananchi, 28/12/2013</ref>. Baada ya kuona polisi haikuadhibu wezi wa mifugo na kujisikia viongozi kadhaa upande wa serikali walishirikiana nao, wananchi wa Janna waliunda kundi la vijana waliomchagua chifu kati yao na kuwinda wezi. Harakati hii ilienea kwenye kata za jirani. Wezi na majambazi waliuawa mara nyingi lakini vijijini Wasungusungu waliendelea kuwaua pia watu walioshtakiwa kuwa Wachawi. Baada ya polisi kuwatafuta viongozi na kuwakamata Wasungusungu walipata kibali cha rais Julius Nyerere waweze kuendelea<ref>Hervé Maupeu & Kimani Njogu, Songs and Politics in Eastern Africa, Mkuki Na Nyota Publishers 2007, ISBN-10: 9987449425, ISBN-13: 978-9987449422, [http://www.africanbookscollective.com/books/songs-and-politics-in-eastern-africa/Songs%20and%20Politics%20in%20Eastern%20Africa%20-%20Foreword.pdf online hapa]</ref>.
 
Kati ya Wasukuma kulikuwa na utaratibu wa Wasungusungu; walisimamiwa na "ntemi" wao aliyesaidiwa na makamu wake, "ntwale" na katibu. Chini yao yuko "Kamanda" anayeongoza vijana wanoenda kuwakamata wezi au washtakiwa. Wote walishauriana katika "bunge la Sungusungu".