'''QurKurani'an'''<ref>Jina la Qur'an pia huandikwa '''Koran''' na watu wa nchi za nje</ref> (kwa [[Kiarabu]]: القرآن, '''Qur'an''') ni [[kitabu]] kitukufu cha [[Uislamu]].Qur'anambacho inatazamiwakinatazamwa na [[Waislamu]] kama "[[Neno]] la [[Allah]] ([[Mwenyezi Mungu]])". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na [[maandiko]] ya vitabu vya [[dini]] nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia [[mtume]] wake wa mwisho, [[Muhammad]].