Emmanuel Okwi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Anakoelekea kwa sasa
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Emmanuel Okwi''' (alizaliwa [[Kampala]], Uganda, [[25 Disemba]] [[1992]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] na anacheza klabu ya [[Simba S.C.]] na [[timu ya taifa]] ya [[Uganda]]. Taifa lake ni [[Uganda]] na anacheza kama [[Kiungo (michezo)|kiungo]].
 
Timu yake ya kwanza kucheza ni St.Henry kitovu College alipokuwa Uganda alikuwa anaichezea klabu ya SC villa baada ya kuja Tanzania kuichezea Simba kwa US$40,000 ndani ya JANUARI timu ya [[Tunisia]] Etoile du sahel na kisaini mkataba wa US$300,000 na kuvunja rekodi Disemba /2013 aliludi SCvilla na agosti /2014 alirudi Simba na kusaini mkataba wa miezi (6) na mwaka 2015 alisaini mkataba wa miaka (5) Simba sport klabu. sasa hivi anaelekea katika timu ya Mamelod sundown ya nchini Afrika ya kusini.
 
[[Urefu]] wake ni [[mita]] 1.76. Alipata [[elimu]] yake huko St. Henry's College Kitovu. Amemuoa Florence Nakalegga.