Shibiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
<sup>Kwa mmea mwenye jina la karibu angalia hapa '''[[Mshubiri]]'''</sup>
[[Picha:Morta shibiri wanda.png|thumb|300px|Shibiri na vipimo vingine.]]
[[Picha:Shubiri.PNG|thumb|300px|Shubiri.]]
'''Shibiri''' (piakawaida zaidi: '''shubiri''' kutoka [[Kiarabu]] شبر, shibr; pia: '''futuri''') ni [[kipimo]] cha [[urefu]] wa takriban [[cm]] 20 - 25.
 
Ni kati ya [[vipimo asilia vya Kiswahili]], ni umbali mkubwa kati ya [[kidole gumba]] na [[kidole cha mwisho]] kwenye [[mkono]] mmoja.