Juan Cuadrado : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Yeye anajulikana kwa mtindo wake wa kucheza, ikiwa ni pamoja na kupiga pasi sahihi, pamoja na ujuzi wake wa kukimbiza mpira.
 
Cuadrado Alianzaalianza kucheza kama [[kiungo (michezo)|kiungo]] wa kati na kiungo mkabaji, kabla ya kuhamishwa kwenye nafasi nyingine ambazo sasa anazicheza, mara nyingi hufanya kazi kama winga wa upande wa kulia, katikati ya kushambulia, au mrengo wa nyuma.
 
Alianza kazi yake huko [[Independiente Medellín]], Cuadrado alihamia Italia mwaka [[2009]] kujiunga na [[Udinese]]. Alitumikia kidogo katika klabu hiyo, alikopwa na [[Lecce]] kwa msimu wa 2011-12,Cuadrado alionekana kuwa mchezaji mzuri sana maonyesho yake yalimfanya ahamie [[Fiorentina]]. Mnamo [[Februari]] [[2015]], alisainiwa na klabu ya [[Chelsea]]. lakini baada ya kucheza kidogo, alikopwa na [[Juventus]], ambapo alishinda [[Serie A]] na [[Coppa Italia]].
 
Cuadrado yupo katika kikosi vya Colombia ambapo aliisaidia nchi yake kufikia [[robo fainali]] kwenye mashindano mawili ya [[Copa América]] na Kombe la Dunia la [[FIFA]] ya [[2014]] na kombe la dunia la FIFA la [[2018]].
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1988]]
 
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1988]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Kolombia‎]]