Marcos Llorente : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Marcos Llorente.JPG|thumb|Marcos uwanjani.]]
'''Marcos Llorente''' ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Hispania]] ambaye anacheza kama [[kiungo (michezo)|kiungo]] wa kati kwenye [[timu]] ya [[Real Madrid]].
 
Alizaliwa huko [[Madrid]]. Marcos Llorente alijiunga na vijana wa Real Madrid mwaka [[2008]], akiwa na umri wa miaka 13.Mwezi Julai 2014, baada ya kuvutiwa na kikosi cha Real Madrid, alipandishwa moja kwa moja kwenye hifadhi na meneja [[Zinedine Zidane]].
 
Tarehe 23 Septemba 2017, mkataba wa Llorente uliongezewa muda mpaka mwaka wa 2021.