Thomas Müller : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300x300px|Muller kwenye kombe la dunia la 2014. '''Thomas Müller''' (alizaliwa 13 Septemba, 1989) ni mche...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Thomas Müller 20120609.jpg|thumb|300x300px|Muller kwenye kombe la dunia la 2014.]]
'''Thomas Müller''' (alizaliwa [[13 Septemba]], [[1989]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ujerumani]]. Anachezea [[FC Bayern Munich]] na [[timu ya taifa]] ya Ujerumani. Müller anaweza kucheza kama [[mshambuliaji]] au [[kiungo (michezo)|kiungo]], Müller anajulikana kwa kazi yake nzuri uwanjani, nguvu kazi kubwa na stamina yake.
 
== Kombe la Dunia 2014 ==
Mstari 10:
 
Muller aliisaidia Ujerumani kushinda kombe la dunia la mwaka 2014.
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1989]]
 
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1989]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Ujerumani]]