Tofauti kati ya marekesbisho "Moravian Theological College"

no edit summary
d
 
'''MothecoMoravian Theological College''' au ('''Moravian Theological CollegeMotheco''') ilikuwa Chuo cha Theolojia cha [[Kanisa la Moravian Tanzania]] katika [[mji]] wa [[Mbeya]] ([[Tanzania]]). Kilianzishwa mwaka 1969 huko [[Chunya]] na kuhamia Mbeya mwaka 1978. Kilifundisha wachungaji wa [[Kanisa la Moravian Tanzania]] pia la Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.
 
Kilianzishwa [[Chunya]] [[mwaka]] [[1969]] na kuhamia Mbeya mwaka [[1978]].
1990 kozi ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.
 
Kilifundisha [[wachungaji]] wa [[Kanisa la Moravian Tanzania]] pia wa Kilutheri hadi kiwango cha [[cheti]] na [[diploma]].
Tangu 2005 Motheco ilikwisha ikaingia katika [[Chuo Kikuu Teofilo Kisanji]].
 
Mwaka [[1990]] [[kozi]] ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.
 
Tangu [[2005]] Motheco ilikwisha ikaingiakwa katikakuingia katika [[Chuo Kikuu Teofilo Kisanji]].
 
[[Jamii:Vyuo vikuu vya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]
[[Jamii:Kanisa la Moravian]]