Tofauti kati ya marekesbisho "Nas"

8 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
| Tovuti = [http://nas.defjam.com/ Nas.Defjam.com]
}}
'''Nasir Jones''' (amezaliwa tar. [[14 Septemba]] [[1973]]) ni mwanamuziki wa rap na mwigizaji kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama '''Nas'''. Zamani alikuwa akijiita '''Nasty Nas'''. Nas ni mtoto wa mwanamuziki wa jazz wa zamani Mzee [[Olu Dara]]. Alizaliwa na kukulia katika nyumba za miradi za mjini (nyumba za watu wenye kipato cha chini) [[New York|Queensbridge, New York]].
 
Nas alisaini mkataba na studio ya [[Columbia Records]] mnamo mwaka wa [[1994]], na kutoa albamu yake ya kwanza ya [[Illmatic]]. Albamu ya Illmatic ilipata kuwa bora na kufahamika zaidi na mauzo bora.
 
==Viungo vya nje==
{{Commons}}
* [http://nas.defjam.com/ nas.defjam.com]
* {{MySpace|nas}}
* {{IMDb name|id=0621576|name=Nas}}
 
{{Commons}}
 
{{Nas}}
{{DEFAULTSORT:Jones, Nasir}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1973]]
[[Jamii:Marapa wa KimarekaniMarekani]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Marekani]]
[[Jamii:Wasanii wa Columbia Records]]