Sauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
spam
Mstari 23:
* ni rahisi kukadiria [[umbali]] wa [[radi]]. Tunajua ya kwamba sauti inasafiri hewani umbali wa kilomita 1 katika muda wa takriban sekunde 3 (taz. juu). Kwa hiyo wakati wa kuona umeme wa radi tunahesabu polepole 1-2-3-4 hadi kusikia sauti. [[Namba]] tunayofikia tunaigawa kwa 3 halafu tunajua radi hii ilikuwa na umbali wa kilomita ngapi.
 
Kwa wanaorekodi [[nyimbo]] kuna vifaa vinavyoitwa [[kompresa]] ambavyo kazi yake ni kuidhibiti sauti ili irekodiwe ikiwa nzuri<ref>[http://wadesound.com/compressors/best-compressor-vocals/ best compressors for vocals]
</ref>
 
==Sauti na marudio==